Saturday, January 11, 2014

UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI YETU YA ZANZIBAR

kit1
Kwa mara nyengine wazanzibari wamepata kinachowaunganisha ambacho ni kitabu kinachooneshasafari ndefu ya miaka 50 ya (Mapinduzi) na kinachoelezea katika picha kwa jinsi gani viongozi waliotangulia wameweza kufanya kazi kwa maelewano. Salma Said alihudhuria katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo nchini Zanzibar.

2 comments:

  1. Salaam.. mimi natoka Tanzania Bara. napenda kujua mengi kuhusu Zanzibar. Je, mnaweza kunitumia kitabu hicho iwapo nitawatumia fedha jupitia M-Pesa au Tigo Pesa(iwapo mtanipatia namba) au kwa njia yoyote mnayodhani ni bora.

    Kitabu kinauzwa bei gani?

    ReplyDelete
  2. unamuuliza nini huyu mpumbavu yaani mwanzo hadi mwisho ananadika usenge tu, hivi wewe mwenye blog una akili timamu, unazania hata sisi wabara tuwamataka nyie wazanzibar, kwanza hamjasoma na hamna akili mtaishia kuwa watumwa wa waarabu hadi mnakufa, uarabuni mmejaa kibao waarabu wanawabagua na bado mnaendelea kujipendekeza, ndugu zenu wamejaa kwenye nchi za makafiri wameenda kujilipua kwa nini wasijilipue arabuni ambako hakuna vitu haram, yaani wewe ni pumbavu namba moja duniani,endelea kufuga sharubu zako hizo nandevu hadi chawa wajazane hapo NGURUWE PORI WEEEH

    ReplyDelete