Saturday, January 11, 2014

VIDEO-KUMBUKUMBU ZA MASHEIKH WETU UAMSHO NA UMUHIMU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR

WAZANZIBARI HATUTAKI KATIBA LA MKOLONI MWEUSI WALA LA MASULTANI WEUSI TANGANYIKA TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR TUPUMUWE BASI TUPUMUWE BASI
WAZANZIBARI NYOTE ULIMWENGUNI KUMBEKENI KUWA NCHI KWANZA NCHI KWANZA NA HII SIO KAZI YA KARUME,MAALIM SEIF,MASHEIKH WETU WA UAMSHO PEKE YAO YA KUIKOMBOWA NCHI YETU YA ZANZIBAR BALI NI KAZI YA KILA MZANZIBARI WALIO NDANI YA ZANZIBAR NA WALIO NJE YA ZANZIBAR PIA.

MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA KATIKA NCHI YETU TOKA TOKA TOKA. MASULTANI WEUSI WA TANGANYIKA TOKENI KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR TOKENI TOKENI TOKENI KABISA MUTUACHIYE NCHI YETU YA ZANZIBAR.MAKABURU WEUSI TANGANYIKA TOKENI KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR TOKENI TOKENI TOKENI

No comments:

Post a Comment