Saturday, January 11, 2014

WANAITA SHEREHE ZA MAPINDUZI-TUNAITA SIKU YA MAUWAJI YA WAZANZIBARI HII NI SIKU YA KUSOMA HITMA SIO SHEREHE.

gwaride1
MAJESHI YA MACHOGO YA NCHI YA TANGANYIKA YALIYO JAZWA NCHINI ZANZIBAR.

Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Mauwaji ya Wazanzibari (Mapinduzi) nchini Zanzibar kinafanyika hapo kesho katika viwanja vya Amani Mjini magharibi nchini Zanzibar  watu wengi wanatarajiwa kufika ni miongono mwaa machongo walio tuliya na kuwatesa na kunajisi wazazi wetu,dada na mama zetu na baadae Raisi wa maskani ya waasi na waendelezaji wa machafu haya walio fanyiwa Wazanzibari.  Mwenyekiti wa Baraza la Mauwaji ya Wazanzibari (Mapinduzi) atahutubia katika sherehe hizo Shein.

Tokeya Mauwaji ya Wazanzibari  mpaka sasa (mapinduzi) ni miaka 50 sasa kila mwaka zinapoteya bilion 2 Kwanini...? kwa kushereheke kunajisiwa mama zetu,dada zetu,anti zetu na machogo walio kuja na vikaptura na mapanga ya kukatia makonge. haya kweli ni ya kufurahia...? au tunafurahia kuliwa kwa kaka zetu,baba zetu,amii zetu na marafiki wetu...? lipi la kufurahi baba zetu kunyolewa ndevu zao dada zetu kunajisiwa na vikaptura..? bilioni 2 kwa nini kusijengwe hospitali kule pemba...? bilioni 2 kwa nini kusinunuliwe madawa...? bilioni 2 kwa nini kusiongezwe jitihada ya kuwa na maji safi kwa nchi nzima ya Zanzibar yani pemba na unguja...?  kwa nini kusijengwe kiwanda cha umeme cha kutumiya takataka tu na umeme unapatika ukaenezwa Zanzibar nzima au wind power ...? Wazanzibari munafanywa wapumbavu na nyinyi mnakubali hii sio sherehe za Mapinduzi bali ni sherehe za Kupinduliwa nyinyi Wazanzibari na mkoloni mweusi Tanganyika.kwa nini bilioni 2 tusingelinunuwa meli kubwa ya kisasa wananchi wakasafiri bila ya woga wala wasiwasi....? 

Au mnaona raha (sifa) mnaposikia meli imezama na kuuwa watu....? kama kila mwaka mnasherehekeya mapinduzi na kufujaa 2:bilions.kama kweli / kama kweli Serikali inawajali wananchi wake ingelishanunuwa melikubwa tena ya kifahari na hapo wananchi wangelifurahi.Hata huyo munae jivuni na kujitapa nae Mzee Karume hakuchezea pesa alinunuwa meli ya Mapinduzi ili rai wake wasafiri kwa usalama iko wapi meli ile...? aliwajengeya rai wake nyumba za kuishi mpaka leo nyinyi miaka 50 toka afe yeye nyinyi mumejenga nyumba ngapi...? alianzisha viwanda viko wapi..? lakini Serikali haina chochote zaid ya huwo(usanii) wa ujinga wa kuharibu pesa za wananchi kwa haya Mauwaji ya Wazanzibari (mapinduzi) haram,Nakuwaacha bila ya usafiri wa uhakika,school za uhakika,hospitali za uhakika,umeme wa uhakika,maji safi ya uhakika,coast guard ya uhakika,vyakula vya uhakika,kazi za kufanya na kupata riziki ya uhakika,nyumba za uhakika,madawa ya uhakika,usafiri wa bahari wa uhakika, basi nyinyi endeleani na kuigeuzi siku ya Msiba wa Wazanzibari kuwa ndio siku ya Sherehe tu kwani.kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

KILA ALIYE MZANZIBARI NA ANAE JITA MZANZIBARI NA KUSHEREHEKEA SHEREHE YA MAUWAJI YA WAZANZIBARI (MAPINDUZI) HALI YA KUWA UNAJUWA KUWA WEWE NI MUISLAMU NA UNASHEREHEKEA BASI UKIMALIZA SHEREHE HIZI BORA UPIGE SHAHADA UPYAA.

No comments:

Post a Comment