Monday, February 3, 2014

MAHAKAMA YA MKOA VUGA ILIO CHINI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YATOWA MASHRATI YA KINAFIKI ZAIDI KWA MASHEIKH WA UAMSHO


Hatimae Mahakama ya Mkoa Vuga iliyo chini ya amri ya MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA yazidi kuwakandamiza Masheikh wa Uamsho kwa  dhamana na masharti matano ya kinafiki kwa  Wakombozi wa nchi ya Zanzibar kumi ambao wamewafungwa ili wasikombowe nchi ya Zanzibar wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI).
Miongoni mwa masharti hayoni ya kinafiki ambayo Shein anaona ndio kapata kumbe kapatikana maana kuna siku inaitwa siku ya KIYAMA HAKUNA WAKUKUSAIDIA SHEIN SIKU HIYO:
1. Kila mshitakiwa alipe shilingi milioni 25 za Kikikoloni Mweusi Tanganyika
2. Kila mshtakiwa adhaminiwe na wafanyakazi watatu wa serikali hii ya Wauwaji wa Wazanzibari.
3. Mmoja kati ya hao wafanyakazi wa SMZ Wauwaji ambao watawadhamini washtakiwa awe na mali isiyohamishika yenye thamani ya shilingi milioni 25.
4. Barua ya Sheha wanafiki.
5. Wasifanye mihadhara wala wasitowe mawaidha
6. Wasitoke nje ya Unguja
HII SIO MAHAKAM YA WAZANZIBARI NI MAHAKAMA YA MKOLONI MWEUSI IKIENDELEA KUWATESA WAZANZIBARI WASIJIKOMBOWE NA HUKU HUYU MNAFIKI SHEIN ANASEMA NCHI INA MAMLAKA KAMILI YAKO WAPI..? AH NIMEKUMBUKA MAMLAKA KAMILI YAKUWA WEWE RAISI WA KISONGE NA KURUHUSU MATUSI NA CHUKI AU SIO SHEIN.KUMBUKA KUNA MAUTI NA SIKU YA KIYAMA MZEE KARUME YUKO WAPI...? KALALA PALE KISIWANDUWI NYERERE YUKO WAPI..? HITLER YUKO WAPI...? FIRAUNI YUKO WAPI...? BASI NA WEWE SHEIN NATA WEEE LAKINI IKO SIKU M/MUNGU ATAKUTIA MKONONI NDIO UTAJUWA KAMA USUKE AU UNYOWE.

No comments:

Post a Comment