Saturday, February 15, 2014

VIONGOZI WA ZANZIBAR MNAO IBAA NA KUJIJENGEA MAKSRI JE MNAIJUWA NYUMBA ALIYO WANDALI M/MUNGU....???


WABUNGE,WAWAKILISHI,MAWAZIRI,MAJAJI,MAJENER WA JESHI NA POLISI,MADIWANI,MASHEHA NA UNAFIKI WENU,MNAO JITA WANA MAPINDUZI MUMEPINDUWA KWA DAMU HAMUTOWE NCHI BLA BLA BLA,WAKWEZI NA WAKULIMA,WACHUZII,WAVUVI,MASHEIKH,WANAVYUONI NA RAI WOTE WA NCHI YA ZANZIBAR KWA UJUMLA NATAKA KUWAONYESHA PICHA HII YA NYUMBA YETU SOTE NYUMBA AMBAYO CHAO CHAKO HAKIKUFUATI,WALA MKE,WANAO,MALI ULIZO IBAA,AU HATA UKIWA FUKARA NA MASINI NYUMBA HII VITU HIVYO HAVIKUFUATI. AYANGALIYE VIZURI KISHA TAFAKARI

No comments:

Post a Comment