Friday, March 14, 2014

VIDEO-MCHUNGAJI MUNISHI AIKEMEA SERIKALI YA KIKWETE YA WAKOLONI WEUSI NA CHAMA CHAO CHA CCM MAKABURU WEUSI GTV


1 comment:

  1. Usimtete huyu mchungaji hana mbele wala nyuma japo kuhusu CCM kasema kweli ni ya kuweka watu njaa! Hawa wachungaji lao wanalijua Zanzibar tuache kuwa Wanachama lakutizamwa ni umoja wa wanadamu na dini ya Kiislamu kwanza na kwenye uislamu nini kinakatazwa? Kama kukaa kuita watu ni wakoloni weusi kila basi anayetoka Bara ni mkoloni mweusi unatizama vyama kabla dini yako Allah amelikataza na kumbuka Wanadamu wenzako wapo wengi pia Bara Waislamu Allah atakuja kukuuliza tutizame dini yetu kwanza na tuzitetee dini zetu ndio Haki itakuja sasa hivi Bara Mikoani kuna dini na heshima kushinda sie huku mikoa ya Pwani na visiwani majungu kuhusu rangi huyu mweusu kwao kule huyu mwarabu huyu hivi mpaka haki za kutizamana bila rangi za ngozi zetu Kiislamu zinapotea tujirekebishe mie nakushauri ukweli endelea ila usiuweke kiubaguzi ndugu yangu Allah atakuja kukuuliza, Zanzibar iwe nchi na Tanganyika iwe kivyao na maendeleo yatakuja Waislamu tunatengana sana ndomana Dar-es-salaam haina mwenyewe tena Tanga haina tena Bagamoyo haina tena, tukija Visiwani kilichobaki watu lawama tu na ubaguzi wa rangi kwenye mafamilia na mabalaa ya kusingizia kidogo Tanganyika kwanza kuungana Wanzanzibari kidini kila kitu kitakaa sawa.

    ReplyDelete