Thursday, March 6, 2014

VIDEO-UAMSHO-MZANZIBARI ANGALIA UNAFAIKE UJUWE UKWELI WA NCHI YAKO NA JINSI YA KUIKOMBOWA NCHI YETU YA ZANZIBAR

SALAMU ALEIKUM HII NI VIDEO YA SHEIKH AMIR FARIDA KABLA YA KUFUNGWA JELA NA VIDEO HII NA NYINGINEZO NDIZO ZILIZO MFANYA AKAFUNGWA YEYE NA MASHEIKH WENGINE KISA WANASEMA UKWELI NCHI YA ZANZIBAR INATAWALIWA NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA KWA MABAVU NA WANASIASA WOTE WA NCHI YETU YA ZANZIBAR NI VIBARAKA NA WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ZINDUKA MZANZIBARI KAMA UNATAKA NCHI YAKO YA ZANZIBAR HAKUNA TENA CHA VYAMA BALI SOTE TUWE KITU KIMOJA NA KUDAI NCHI YETU YA ZANZIBAR SAHAU VYAMA KWANZA NCHI KWANZA.TUNAMSHUKURU MOLA KAWASHINDA MATHALIM WALIO WAFUNGA JELA MASHEIKH WETU,WAKOMBOZI WETU,VIONGOZI WETU,DUNGU,KAKA,WAJOMBA ZETU NA KUWAWAFEDHEHESHA MWISHO WAMEWACHIYA ALHAMDULILAHI WAKO HURU.

No comments:

Post a Comment