Thursday, April 24, 2014

SIRI YA UVCCM YA NCHINI ZANZIBAR YAVUJA ((Inampango Wakuchoma tena Makanisa kama Ukawa watafanya mikutano)) NCHINI ZANZIBAR


Ndugu wa Zanzibari na Wale wa Tanganyika ambao wanaipendelea Nchi yetu hii impya ya Tanganyika na ya Zanzibar kuwa na Umoja, amani, Utulivu na Muungano wenye Muundo wa Serikali 3 ambao utaondoa kero na manunguniko. Napenda kuwajuilisha kwamba nimepata habari kutoka kwa Sheha mmoja wa CCM ambae mimi ni jamaa yangu wa damu.
Amesema UVCCM wameshaandaa Kufanya fujo nchini Zzanzibar ili Wa Wadis-rupt (wawaharibie) UKAWA pindipo kama watafanya Mikutano nchini Zanzibar. Hoja hiyo inaaminika kuwa ni mpango mwengine kabambe wakutaka Kumshinikiza Maalim Seif na Ugaidi katika Chama chake CUF. Hivyo Ile hoja ya LUKUVI kusema kwamba wanaogopa Serikali ya Kiislamu inaweza kujengwa zaidi hapo pindipo Makanisa mengine yatachomwa Visiwani..
Tunatakiwa tuichukue habari hii in a Serious matter niko mbioni kuipata barua waliojiandaa CCM na nitaiweka hapa kama itawezekana..
WAZANZIBARI TUWE MACHO KWELI KWELI HAKUNA KULALA

No comments:

Post a Comment