Friday, May 9, 2014

BALOZI SEIF ALI IDDI ALAZIMISHA KUWA MZANZIBARI MZAWA WAKATI HAKUNA ANAE MJUWA WAKATI WA UTOTO WAKE HAPA NCHINI ZANZIBAR


ANAPENDA SANA KUREJESHA NA KUPANDIKIZA UBAGUZI NCHI KWETU ZANZIBAR SASA TUNAKULIZA WEWE SIUNAJIDAI NI MZANZIBARI JE BABA YAKO NI MASAI NA MAMA YAKO MUOMANI...?

AU BABA YAKO NI MUOMANI NA MAMA YAKO NI MAASAI...?
KWA MUJIBU WA BALOZI NDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA ALIYE KUWEPO HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR ANASEMA KUWA YEYE ALIZALIWA KITOPE NA AMEHUSU MKWAJUNI NA CHAANI NA MAMA YAKE ANATOKEA WAWI KWA AKINA HAMAD RASHID JE HAMAD RASHID ULIPOKUWA MDOGO ULIMUONA BALOZI..? MAANA KITOPE YOTE WANASEMA HAWAMJUWI HUYU JAMAA WALA HATA HAWAJUWI KATOKEA WAPI NA HUKO MKWAJUNI CHAANI PIA WANASEMA HAWAJAWAHI KUMUONA ALIPOKUWA MDOGO SASA WEWE UMEKUWA JINI NDIO LISILO ONEKANA LAKINI KAMA NI BINADAMU BASI KITOPE,MKWAJUNI CHAANI NA HATA HUKO WAWI WATU LAZIMA WAWE WAMEKUONA ULIPOKUWA MDOGO UKIENDA SKULI AU HATA KUCHEZA NA WATOTO WENGINE LAKINI HAKUNA ALIYEKUONA KISHA UNAJIDAI WEWE NI MZANZIBARI WAWAPI BASI....? ACHA UBAGUZI WAKO UTAUMBUKA NA USHIKE ADABU YAKO NA ADABU IKUSHIKE KUENEZA CHUKI NA UBAGUZI NCHINI KWETU AU UTARUDI ULIKO TOKEA KAMA NI UGANDA,MALAWI,MSUMBIJI AU KOKOTE KULE UTARUDI AU KAA NA ADABU ZAKO.
BAATHI YA WAZEE TULIO WAHOJI WANA HAYA YA KUSEMA TENA NI CCM
MZEE NAMBA1. Ushahidi tulionao kutoka kwa Wananchi wa Mkwajuni, Chaani na Wawi, wanasema, Balozi Mkaazi wa Tanganyika ( Seif Ali Iddi), Ubini wake wala utoto wake haujulikani kwa hizo sehemu 3 za Unguja alizojinasibisha nazo. Sasa tujiulize kwaninini ” TING TONG” ameanza kumtilia Mashaka Mh. Jussa ambae ni Mzaliwa wa Visiwani ?… Na hata Kwamba awe Mh. Jussa sio Mzaliwa wa Visiwani, lakini amekuja Mchanga na amekulia nchini Zanzibar na Wazee wake Kuchangia katika ulipaji kodi wa nchi ya Zanzibar…na watoto wengi wanamjuwa na wamecheza nae yeye balozi kacheza na nani au kenda skuli ngani na watoto wa wapi alihoji mzee huyo.
MZEE NAMBA 2. Kuna kundi la Wazanzibari kutoka Jimbo la Kitope, ambao wana uchungu na Nchi yao wametufikishia reporti kwamba Seifu Ali Idi hakukulia Kitope kama anavojidai hivo. Wazanzibari hao hao wakaenda Chaani, kama tunavojua kwamba Zanzibar ni Visiwa vidogo sana ambavyo kila mtu anamjua mwenzake au familia zote zinajuana au zimeingiliana. Hivo kwa mtu aliezaliwa na kukulia Unguja au Pemba, ukienda katika kijiji hicho anachodai amezaliwa , huwa anajulikana. Kinachoshangaza baada ya Utafiti wakutafutwa Ubini wake kule Chaani na Mkwajuni, Sefu Ali Iddi “TING TONG hajulikani na watu hawa… Na wanasema wao wameshangaa kuliona zee hilo likiendele kudai kuwa ni Mzanzibari na kuwabaguwa wazawa wa nchi hii wazee hao walituchekesha na kusema ameletwa kama Radi wala hawajui ametokea wapi…?
MZEE NAMBA 3.Mimi mwenyewe nimezaliwa mika ya 1965 na nimekulia Zanzibar yaani Unguja na Pemba, lakini sijawahi kumsikia Mzee huyu wala kumuona .. mara yangu ya kwanza kumsikia na kumuona ni baada ya uchaguzi wa 2010. Nimejaribu kumuuliza Shemegi yangu ambae ni Sheha na kada wa CCM katika jimbo la Rahaleo. Amenambia pia hamjuwi Mzee huyu wala hajui alipotokea.. Sasa Hao Wana CCM hawakujui wewe ni nani, unapataje uhalali wakumuuliza mtoto wetu Mh. Jussa amabe tUmemlea wenyewe na kumsomesha pale Ben-Mbella na Lumumba ALIHOJI MZEE HUYO...?

1 comment: