Saturday, June 14, 2014

KAMA KAWAIDA KISONGE NA CHUKI ZAO NA UBAGUZI WAO WANAENDELEA JE POLISI MAGUGU HAMOYAONI MUNAYAONA YA GAZA TU...???


KAMISHA WA POLISI NCHINI ZANZIBAR HAMDAN OMAR MAKAME UMESOMA KISONGE LEO INAVYO FITINISHA WAZANZIBARI JE MUTAWASHUGHULIKIA KISONGE..?
IMG-20140613-WA0025

MKADAM KAMA UNATA KUJUWA WANAO CHAFUA AMANI NDIO HAO KISONGE JE UMESOMA UBAO WA LEO JINSI UNAVYO PANDIKIZA CHUKI NA UBAGUZI JE MUTAWASHUGHULIKIA KISONGE...?

Hakuna shaka kua hali hii ya kuachiwa Ubao wa ccm wa Kisonge umekuwa  ukazalisha Fitna na chuki zakujaribu kuwagawa jamii ya wananchi wa nchi ya Zanzibar kwa misingi ya Upemba na Unguja kwa kipindi kirefu sana sasa.
Hali hii sikwamba viongozi wa ccm/Smz wauwaji hawaioni au hawaijuwi kua haina tija yoyote zaidi ya kupanda mbegu ya Ubaguzi na Fitna za kuianganiza jamii ya wananchi wa nchi ya Zanzibar.
Ikiwa Serekali ya Smz wauwaji italifumbia jicho Fitna hizi na chuki hizi basi wasije kujilaumu pindipo mbegu hii ikipata rutba na kumea.
Kila kukicha viongozi wetu huhubiri Amani na Utulivu uliopo nchini hapa Zanzibar lakini leo Kisonge imekua ndio kichecheo no one kupandikiza chuki ,Fitna na Ubaguzi kujaribu kuwagawa Wananchi wa nchi ya Zanzibar kwa kisingizio cha Upemba na Unguja ,Uarabu na Uhadimu Udini na Ukabila.
Jambo hili sikwamba Serekali hawalioni ,lakini wao inaonekana wamelipa baraka zote na ndio ukaona wanashindwa hata kukemea vitendo wanavyo fanya Kisonge ndani ya nchi yetu ya Zanzibar.
Tukumbuke tu kua nchi hii si shamba au mali ya ccm, kila Mzanzibar ana haki na thamani kama Mzanzibar yoyote ndani ya nchi yake.
Serekali inapo ruhusu kundi au watu fulani kuwa wao ndio wako juu kuliko wengine , hio nikuonyesha kua imeshindwa kazi ya kuwahudumikia raia ndani ya nchi yao.
Ikiwa Ubao wa ccm wa kisonge utaendelea kupata baraka za Serekali na chama cha ccm basi wasije wakajuta na kujijutia hali ikibadilika na historia kuwahukumu kwa walicho kipanda na kumea.
M/mungu ibariki Zanzibar na watu wake.

No comments:

Post a Comment