Monday, September 29, 2014

RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MHE MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD YUPO NCHINI UTURUKI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UCHUMI ULIOANZA LEO MJINI ISTANBUL

IST C
Rais wa nchi ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amewasili nchini Uturuki akiongoza ujumbe wa nchi ya Zanzibar katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi ulioanza leo jijini Istanbul nchini Uturuki.
Katika mkutano huo uliolenga kuweka mikakati ya matumizi bora ya rasilimali kwa maendeleo ya kiuchumi, zaidi ya wajumbe 500 kutoka mataifa tafauti, wakiwemo wanasiasa, wafanyabiashara, wataalamu wa uchumi na fedha na wawakilishi wa sekta binafsi wanahudhuria.
Akizungumza katika kikao cha utangulizi kabla ya kufunguliwa rasmi mkutano huo, Mkurugenzi wa Mashirika ya Kimataifa na Serikali wa Mkutano wa Kiuchumi wa Dunia (WEC), Carl Bjorkman ameyahimiza mataifa kutoa kipaumbele katika kuimaarisha miundo mbinu ya kiuchumi kama njia muhimu ya kuwapatia fursa za kimaendeleo wananchi wao.
Mkurugenzi huyo amesema mataifa mengi bado hayaoneshi mafanikio makubwa katika ukuaji wa uchumi, huku sekta nyingi zinazogusa maendeleo ya watu wao zikiyumba, hali ambayo inapaswa kudhibitiwa kwa mataifa kuwa na mikakati ya pamoja ya kukuza maendeleo ya kiuchumi.
Amesema miongoni mwa matatizo makubwa kwa nchi nyingi ni kukosekana fursa za kiuchumi zinazoweza kuzaa ajira nyingi kwa wananchi, hali inayochangia kukosekana imani ya wananchi na baadaye kuathiri utulivu na amani ambao ni msingi wa ukuaji wa uchumi na maendeleo.
“Tukiungana mataifa ya Ulaya, Asia, America na Afrika tukiweza kuzitumia rasilimali tulizonazo katika maeneo yetu kwa kuzingatia vipaumbele vya ukuaji wa uchumi, tutaweza kuleta mabadiliko na kuunda fursa nyingi kwa wananchi katika Mabara yote”, amesema Bjorkman.
Mkurugenzi huyo amehimiza utaratibu wa mataifa kuchagua maeneo machache yenye ufanisi kushirikiana kwa mujibu wa mazingira yao, ambapo mataifa yataweza kushirikiana katika kuyaendeleza, badala ya kuweka vipaumbele vingi kwa wakati mmoja, hali ambayo haileti mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.
Rais wa nchi ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na wajumbe wa nchi ya Zanzibar pia unawashirikisha Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, Katibu wa Tume ya Mipango, Amina Khamis Shaaban na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitegauchumi (ZIPA) Nd. Salum Nassor.Rais wa nchi ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
ist A
ist 9
ist 4
ist 1
TUNAWAPA HONGERE KWA KUIWAKILISHA NCHI YETU YA ZANZIBAR HONGERA SANA SANA
NCHI KWANZA ZANZIBAR KWANZA NCHI KWANZA ZANZIBAR KWANZA NCHI KWANZA
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Tuesday, September 23, 2014

MATESO YOTE ALIYO PATA GANDI NA MANDELA HAYA WAKUZUI KUDAI NCHI ZAO MNAFIRIKI WAZANZIBARI NDIO WATAWACHIA...???

WANGEREZA HAWAKUWAPIGA,WALA KUWATESA,KUWAFUNGA JELA,WALA KUWATISHA,WALA HAWAKUWABAGUWA,WALA KUWATIA MITI NA CHUPA KATIKA SEHEMU ZAO ZA SIRI,WALA KUWAPIGA WAKIWA UCHII WA NYAMA,WALA HAWAKUWACHUKUWA KUTOKA KWAO USKOTISH NA KUWAPELEKA UENGEREZA NA KUSEMA WASKOTISHI NI MAGAIDI.

WASKOTI WAMEULIZWA KWA KURA WAZANZIBAR WANALAZIMISHWA KWA MTUTU,VIPIGO,VITISHO,MATESO,UBAGUZI,KUBAMBIKIWA KESI NA KUFUNGWA JELA MPAKA LINI..? MUUNGANO NI HIYARI SIO KULAZIMISHANA

WAZANZIBARI MUNAUTAKA AU HAMUUTAKI....?

HAWAKUWAULIZA WANANCHI KAMA WANATAKA MUUNGANO AU LAAA

WASKOTI WAMEULIZWA KWA KURA WAZANZIBAR WANALAZIMISHWA KWA MTUTU,VIPIGO,VITISHO, MATESO,UBAGUZI,KUBAMBIKIWA KESI NA KUFUNGWA JELA MPAKA LINI..? MUUNGANO NI HIYARI SIO KULAZIMISHANA

NYINYI PIA MUNASHINDWA KUWAULIZA WANANCHI KAMA WANAUTAKA MUUNGANO AU LAAA..????

KIONGOZI WA SKOTISHI ALITAKA RAI WAVUNJE MUUNGANO KWA KURA ZANZIBAR VIONGOZO WANATAKA MUUNGANO RAI HATUTAKI KAMA HAMUAMINI TUPENI KURA NAWALA MUZIZICHAKACHUWE MUONE

Kinana kutoa mfano kwa wascotish ni saw a na kulinganisha vitu viwili tofauti ambavyo havifanani.
Sasa kama wewe unasema waziri mkuu wao Scotland alikuwa akiwahamasisha watu kujitoa ktk mungano lakini mwisho Wa siku watu wamekataa.
Na Wazanzibari tunakushauri hivi  leteni kura ya maoni Kisha mwambieni Raisi wa Kisonge shein ahamasishe Wazanzibar waendelee na serikali 2 Kisha muwachie watu waamue kwa hakii bila kuchakachua na matokeo utakayopata ndio sasa ujisifu na kuilinganisha Zanzibar na scotland.

Tofauti Hapa petu Zanzibar Kiongozi Wa CCM wanataka watu wasijitoe ila watu wanataka kujitoa ilhali Scotland watu hawakutaka kujitoa wakati kiongozi wao alitaka wajitoe ktk mungano.Kinana amejuwa maneno haya ayaseme wapi, Tanganyika nchini kwao. Tufahamu kuwa Watanganyika wengi bado wamelala usingizi mzito wa FOFOFO sana au wamejengwa na woga mkubwa kusema dhidi ya utawala wa Makaburu Weusi CCM. Watanganyika wengi bado hawajuwi namna wanavyonyonywa na utawala huu wa kidhalimu wa Makaburu CCM. Watanganyika wengi hutuona sisi Wazanzibari ni watu wakorofi tu kwa vile hatuna kigugumizi kudai haki zetu za dola.

CCM imejenga woga mkubwa ndani ya Watanganyika kiasi ya kuwa hata mwenyekiti wa shina anaweza kumfanyia Mtanganyika matendo anayopenda yasiyo ya kisheria na aliyefanyiwa anaogopa hata kusema. Wewe tazama tu nchi ya Tanganyika jinsi ilivyobarikia na raslimali za kila aina Thahabu,Amasi,Tanzanight,Makaa ya Mawe,Mbuuga za Wanyama,Ardhi iliyo kubwa kabisa na yenye rutuba ya kuota kitu chochote,Milima mizuri mizuri, Maziwa na Mitoo isitoshe Bahari na Gasi juu N.K. na habu angalia maisha wanao ishi rai wao wa Tanganyika mpaka leo mlo moja kwa mbindee kulaleki.Qatar in Gasi tu angalia inavyo peleka dunia mchaka mchaka Gasi tu U.A.E. in petrol tu angalia inavyo ghara Saudi arabia, Kuwaiti N.K. utakuta wana kitu kimoja tu lakini wananchi wao wanaishi maisha ya juu kabisa na nchi swafii leo Mwananchi wa Tanganyika aliyekuwa akila milo mitatu wakati wakitawaliwa na Mjerumani na kisha Mgereza wakati wa utumwa leo wako HURU hata MLO moja unawashinda sasa Uhuru huu wa nini basi....?? 

Ni nchi ya ajabu sana Tanganyika kuwa nchi yenye raslimali kama vile halafu wanakubali kuja kudhalilishwa Zanzibar na CCM eti waje watie kura kuisaidia CCM halafu watapatiwa kazi hebu jiulizena Tanganyika na Zanzibar ipi ni kubwa ipi ina raslimali nyingi mukisha pata jibu jiulizeni ikiwa hapa hatupati na ndio kwetu kweli tutapata ugenini....?? Wengi wenu Mwisho wake humalizikiaje baada ya kupiga kura na kuifanya CCM ishinde huwa munamalizikiaje....??

Kudhalilika mitaani tunawaona. Tunawaamsha sana vijana wanu wa Kitanganyika lakini naona bado wamo katika usingizi na khofu kubwa kuweza kukabiliana na utawala dhalimu wa Makaburu Weusi CCM wa kudai haki zao kule Tanganyika nchini kwenu na ndio kwenu. Matokeo yake huja nchini kwetu  Zanzibar kuvaana na Wazanzibari. Wasomi wa nchi ya  Tanganyika bado hawajafanya kazi ya kuwaamsha Watanganyika. Inaoneshea Wasomi wengi wa Tanganyika wakisha kupata wao “elite” wanatoshelezeka, japo raia wa kawaida wakiwa wanateketea kwa umaskini, maradhi na njaa namna gani. Kwa hivyo CCM nchini Tanganyika wanajuwa vipi kuwadhibiti wasomi wa nchi yao ya Tanganyika kwa sababu wanajuwa wakisha kuwadhibiti wasomi wao ni rahisi kuwadhibiti raia wa kawaida ambapo jambo hili utaona ni vigumu kwa nchi yetu ya Zanzibar. Zanzibar kila mtu ana mwamko, awe msomi au raia wa kawaida.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Saturday, September 20, 2014

SI KILA SIKU MUNAWATUKANA WAPEMBA WENDE KWAO SASA MUNAKINGANGANIYA CHA NINI WACHENE WENDE KENYA AU SOMALIA ILI NANYI ROHO ZENU ZIWATUWE WANAFIKI WAKUBWA MUSIO JIJUWA WALA KUJITAMBUWA

Waziri wa  Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Kisonge, Mohamed Aboud Mohamed
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumzia mvutano wa mipaka uliojitokeza katika usawa wa Bahari ya Hindi kwenye mwambao wa Somalia na Kenya na kulihusisha eneo la Pemba ikielezwa kuwa ni sehemu ya Kenya.
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema Kisiwa cha Pemba ni miliki ya Zanzibar na hakuna nchi yoyote yenye ubavu wa kukichukua kisiwa hicho, imeelezwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumzia mvutano wa mipaka uliojitokeza katika usawa wa Bahari ya Hindi kwenye mwambao wa Somalia na Kenya na kulihusisha eneo la Pemba ikielezwa kuwa ni sehemu ya Kenya.
Kauli ya Waziri huyo imekuja baada ya hivi karibuni kuripotiwa kuwa Somalia imeishtaki nchi ya Tanganyika katika Mahakama ya Kimataifa kuwa inakalia Kisiwa cha Pemba ambacho ni mali ya Kenya.
Vilevile Somalia imeishtaki Kenya katika mahakama hiyo na kwamba nayo iko katika hatari ya kupoteza umiliki wa visiwa katika Pwani ya Bahari ya Hindi.
Aboud alisema mipaka ya nchi inaonyesha wazi Kisiwa cha Pemba kimekuwa ni sehemu ya Zanzibar na hakuna sababu ya kulitilia shaka jambo hilo kuhusu mvutano uliojitokeza baina ya mataifa hayo na kuamua kufungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa.
“Kelele za mlango daima haziwezi kumnyima usingizi mwenye nyumba, Kisiwa cha Pemba ni mali ya Zanzibar na mipaka hiyo itabaki hivyo,” alisema Waziri Aboud.Alisema katika sura ya kwanza ya Katiba ya nchi ya Tanganyika (2)(1) imeeleza bayana kuwa, eneo Bara pamoja na sehemu ya bahari inayopakana nayo.
Alisema hakuna sababu yoyote ya Wazanzibari kuwa na hofu na kwamba SMZ  iko makini katika kulinda rasilimali na mipaka yake.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk Mahadhi Juma Maalim alisema Serikali imeanza kufuatilia kwa karibu suala hilo ili kupata ukweli kwa kile kilichoripotiwa kuhusu Kisiwa cha Pemba kuwa katika eneo la Kenya.Dk Mahadhi alisema kwa kuwa kesi ya mipaka kati ya Kenya na Somalia iko katika Mahakama ya Kimataifa, kwanza watahitaji kufahamu madai ya pande mbili hizo katika kesi ya msingi.
walioshtakiwa na kufikishana mahakamani.
“Serikali itafuatilia ili kupata ukweli wa kuibuka kwa madai hayo ingawa mipaka yetu inafahamika kitaifa na kimataifa…hatuna wasiwasi na jambo hilo na kama kutakuwa na ulazima wa kuingia katika kesi hiyo, tutalazimika kufanya hivyo tukiwa tunajiamini,” alisema Dk Mahadhi
Hata hivyo, Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar, Awadh Ali Said alisema kwamba Kisiwa cha Pemba na Mombasa vilikuwa ni sehemu ya Zanzibar chini ya utawala wa kisultan akiwa chini ya uangalizi wa Uingereza mara baada ya ukataji wa mipaka baada ya Mkutano wa Berlin Ujerumani mwaka 1884/85.
“Ni ajabu kusikia kuwa Pemba ni sehemu ya Kenya badala ya kusikia Mombasa ni sehemu ya Zanzibar, kabla na baada ya mwaka 1963 bendera ya Sultan wa Zanzibar ilipepea huko Mombasa na maeneo yote umbali wa maili kumi toka usawa wa bahari yakiwa chini ya himaya ya Zanzibar,” alisema Awadh.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Wednesday, September 17, 2014

KINACHO WAFANYA WABUNGE WA ZANZIBAR WALAFI,TAMAA,NJAA, WASIONDOKE GININGI DODOMA NI HICHI

Dodoma. Kauli ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kwamba fedha ambazo zitakuwa zimeokolewa katika siku 60 za uendeshaji wa Bunge hilo hazitarejeshwa serikalini, bali zitatafutiwa utaratibu wa namna ya kuzitumia, imemgonganisha na katibu wake, Yahya Khamis Hamad ambaye amesema “hilo ni jambo la ajabu”.
Sitta alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akiahirisha Bunge hilo lenye wajumbe 500 baada ya wajumbe 130 wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kulisusia tangu Aprili 16, mwaka huu.
Wajumbe hao wamekuwa wakilipwa posho ya Sh300,000 kwa siku sawa na Sh150 milioni kwa siku kwa wajumbe wote, huku Serikali ikiwa imetenga Sh20 bilioni kwa ajili ya siku 60 za uendeshaji wa Bunge hilo.
Kauli hiyo ya Sitta kuwa fedha zitakazookolewa zitatafutiwa utaratibu badala ya kurudishwa zilikotoka, iliwafanya wajumbe wa Bunge hilo kulipuka kwa furaha na kugonga meza.
Hata hivyo, katibu wa Bunge, Yahya Khamis Hamad alishangazwa na kauli hiyo ya Sitta akisema: “Mimi hayo niliyasikia lakini kwangu pia ni ya ajabu kwa sababu fedha tulizonazo hazitoshi, sasa hizo za kubaki mimi sijui.”
Katibu huyo alisema kwa sasa, Wizara ya Fedha inawapa kiasi cha fedha kwa kile tu ambacho kinahitajika na yeye anatoa taarifa serikalini kwa kiasi kilichotumika. “Mimi sijui labda yeye anajua sitaki kumsemea,” alisema.
Sitta pia aliwaeleza wajumbe hao kuwa baada ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa, wote watakabidhiwa cheti na Rais Jakaya Kikwete.
“Cheti hicho kitakuwa na sahihi ya Rais mwenyewe kwa hiyo tutakaa kidogo kusubirisubiri Katiba iliyokamilika, haiwezi kuwa ya ovyo ovyo tu lazima iwe na viwango vizuri,” alisema Sitta na kuongeza:
“Tutachapisha nakala nyingi kila mmoja aende na waraka huo wa kihistoria nyumbani na itakuwa ni Katiba bora sana hapa Afrika na Kusini mwa Sahara.”
Mwenyekiti huyo aliwapiga vijembe viongozi wa Ukawa na makundi mengine yanayopaza sauti kutaka Bunge hilo lisitishwe ili kuokoa pesa
“Tutamaliza zoezi hilo Oktoba 3, mwaka huu ili tutoke na Katiba inayopendekezwa kinyume na wale wanaopiga kelele ovyo bila kuwa na sayansi kichwani eti unaokoa gharama kwa kusitisha mchakato.
“Mchakato huu ungesitishwa ina maana utawala ujao, rais ajaye ingembidi kuanza upya na Tume na aingie tena kwenye Bunge Maalumu la Katiba,” alisema Sitta.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Tuesday, September 16, 2014

ASANTE SANA MH ALI KEISSY KWA KUWAFUNDISHA KUCHAMBA MAVI WABUNGE FEKI WA ZANZIBAR WENYE NJAA KAMA JUJU WAA MAJUJU

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mh Ali Keissy (CCM)
FREE ZANZIBAR INAKUPOGEZA SANA MH ALI KEISSY 
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Mh Ali Keissy (CCM), ‘ameiweka hali ya hewa kuwa safi kabisa ndani ya bunge’ bungeni, akisema bila muundo thabiti wa Muungano wa Serikali tatu, Zanzibar itaendelea kuinyonya Tanganyika na ni kweli maana ile mibunge iliyo jaa kutoka Zanzibar inakula bure tu.
Kauli hiyo ambayo ni kinyume na msimamo wa chama chake cha CCM, inayopigania muundo wa serikali mbili, jana ililitikisa Bunge Maalum la Katiba, ambako wajumbe kutoka Zanzibar watapia mlo wasio shiba wasio juwa karaha wala vibaya walichachamaa wakimvurumishia maneno ya kejeli na kutaka kumpiga baada ya kuona Mh Ali Keissy anataka kuwatowa tonge mdomoni, hatua iliyosababisha atolewe ukumbini chini ya ulinzi mkali hadi nje ya eneo la Bunge ili kumnusuru.
Sambamba na tukio hilo, pia wajumbe wengi walipoteza muda mwingi wa mjadala kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakisema kuwa hotuba yake ya kutaka kuitisha maandamano ya kupinga Bunge la Katiba ni uchochezi na hivyo kuomba uongozi wa Bunge utoe kauli.
Kama vile sinema, Mbunge wa Mbinga Mashariki, Kapteni mstaafu John Komba (CCM), alisahau kauli yake kwamba atakwenda msituni kupindua Serikali ikiwa muundo wa Serikali tatu utapita, badala yake akamshambulia Mbowe kwamba kauli yake ya kutangaza maandamano na migomo ni kuingilia jukumu la Amiri Jeshi Mkuu kwa kutangaza vita, halafu serikali inakaa kimya.
Licha ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuwabeba dhahiri baadhi ya wajumbe waliyokuwa wakimshambulia Mbowe kwa kuwaacha wazungumze hata baada ya dakika kumi zao kuisha, tukio la Keissy lilionekana kumkera na kuingilia kati kuwapa nafasi baadhi ya makada wa CCM kusafisha hali ya hewa.
ALIVYOANZA KEISSY KIBOKO YA WAZANZIBARI WATAPIA MLO WALIO BAKI BUNGENI NA KULA BURE
Mjumbe huyo ambaye msimamo wake uko wazi kwa kutokubaliana na serikali mbili zinazopigiwa chapuo na chama chake, alianza kwa kumsifu Mwenyekiti wake wa kamati namba moja, Ummy Mwalimu, akisema ni mwanamke jasiri anayefaa kugombea hata urais kwa jinsi alivyowaongoza vizuri.
Hata hivyo, wakati wajumbe wanawake wakimshangilia kwa makofi, Keissy aligeuka na kugusia muundo wa muungano, akisema kwamba huwezi kuzungumza katiba bila kujadili msingi wa muungano ili kuweka bayana ukweli.
“Ukweli lazima uwekwe wazi ili vizazi vijue na kila mtu abebe mzigo wake. Tanganyika imekuwa ikibebeshwa gharama za Zanzibar, tuna wabunge 83 wa Bunge la Jamhuri wanagharamiwa kila kitu wao, wake zao, waume zao familia zao na Serikali ya Tanganyika,” alisema.safi sana Keissy
Keissy aliongeza kwamba, jambo baya zaidi ni kwa serikali ya Zanzibar kutoweza kuchangia hata senti katika mfuko wa fedha wa pamoja na hivyo kusisitiza kwamba, muungano lazima uwekwe wazi kila mtu agharamie kadiri anavyotumia.
“Hili la Wazanzibari kutochangia gharama za muungano katuambia Gavana Beno Ndullu alipokuja kwenye kamati yetu, sasa tuache kujenga nyumba juu badala ya kuimarisha msingi, huu ni mfumo wa vyama vingi sio kama wakati ule wa chama kimoja wakati wa Nyerere,” alisema Keissy.
Alihoji kwamba, hata katika muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na CCM, ni vigumu Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa kwanza wa Rais atakayekaimu nafasi endapo rais hayupo, kwani hakuchaguliwa na Tanganyika na Wazanzibari ((Watanzania)) wote.
Hata hivyo, wakati Keissy akiendelea kujenga hoja zake, wajumbe wengi kutoka Zanzibar wenye njaa wasio shiba walafi walipo ona tonge inawatoka waliinuka na kuomba kumpa taarifa huku wengine wakiomba mwongozo wa kiti, wakidai mjumbe huyo anapotosha na kuwatusi kwa kauli za kibaguzi.((zakibaguzi anawapa ukweli murudi nchini kwenu mkalime karafu na mashelisheli wacheni kula bure huku mukiwanyonya wananchi wa nchi hizi mbili na nyinyi mukivimbiana na kucheza upatuu bungeni))
Keissy alipangua hoja zao hata kabla ya kiti kutoa mwongozo, akiwataka watulie huku akisema subirini subirini nimalize huku akisema kwamba, hata Bunge hili la Katiba Zanzibar haijachangia, kauli iliyozidisha jazba za waroho wakubwa hao wa kutoka Zanzibar kwa ukweli alio kuwa akiwapa Mh Keissy Wazanzibari walichanganyikiwa na wakanza kumuita ‘chizi’ na wengine kudai akapimwe.((hawajuwi kuwa machizi ni wao na wakupimwa ni wao mwanasheria mkuu wa nchi ya Zanzibar ashatoka nyinyi mnasubiri nini kama sio njaa isiyo isha nyinyi ndio wakupimwa hayo matumbo yenu.
“Mimi sio chizi bali machizi ni nyie Mh Keissy aliwajibu na kuendelea mnaokubali kubebwa tu bila kuchangia,” alisema Mh Keissy, kauli ambayo ilimfanya mjumbe mmoja kusimama na kumpa taarifa kwamba muungano umedumisha umoja na kwamba licha ya mbunge huyo kuwa na asili ya Kiarabu ya Pemba bado habaguliwi.
Kabla hata mjumbe huyo kumaliza taarifa yake, Mh Keissy aliendelea tena na kumjibu akisema, asimtukane kwani naye asili yake ni Kongo. Kauli hiyo ilimwinua mjumbe mwingine aliyesema lugha yake inaudhi, inakera na kwamba anapaswa kupimwa akili.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA ALIYEPO NCHINI ZANZIBAR BALOZI IDDI ASEMA KAZI YA VIONGOZI WADINI NI KUOMBEA WATU NA VIONGOZI ((WATAWAOMBEA VIPI NA NYINYI MNAWAFUNGA JELA NA KUWALAWITI NA KUWAITA MAGAIDI...?? ))

Makamo wa Pili wa Rais wa Maskani ya Kisonge, Balozi Iddi,              
Makamo wa Pili wa Rais wa Maskani ya Kisonge, Balozi Iddi, amesema viongozi wa kidini wanapaswa kuwa macho kuzikataa choko choko na ushawishi unaotolewa na wanasiasa.Alisema kazi inayotakiwa kufanywa na viongozi hao ni kuwaombea watu wakiwemo viongozi wa nchi ili baraka ziongezeke ndani ya taifa pamoja na umma jambo ambalo litasaidia kupunguza misuguano.
Alisema hayo wakati akilifungua tamasha la kuliombea taifa na kuhamasisha amani, linalofanyika ukumbi wa Masai Laugwa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.Alisema amani na utulivu wanaojivunia Watanzania miaka mingi sasa ni miongoni mwa neema zinazopaswa kutumiwa vizuri.Alisisitiza njia nzuri ya kuzitumia neema hizo ni kwa wananchi kuzidisha juhudi katika uzalishaji mali wiwandani na mashambani, kuzidisha upendo na mshikamano bila ya kujali rangi, kabila au asili ya mtu.
Aliitahadharisha jamii kutotoa nafasi kwa watu wenye nia mbaya ya kutaka kuliangamiza taifa na kulitumbukiza kwenye vurugu na mapigano. “Mimi kamak wa serikali kwa kushirikiana na viongozi wenzangu na wananchi wenye nia njema na taifa letu tutaendelea kufanya kazi wakati wote na tutahakikisha amani na utulivu inadumu ndani ya nchi yetu ambayo ndio maisha yetu,” alisema. Alitoa wito kwa akina mama kuendelea kuwa walinzi na wasimamizi wa amani na utulivu.
Alisema mara nyingi wanawake na watoto ndio waathirika wakubwa wa vurugu, hivyo amani ndio suluhisho pekee la
kuwalinda. “Mara nyingi tunashuhudia kwenye vyombo vya habari jinsi wanawake na watoto wanavyokufa au kujeruhiwa kutokana na vita vinavyozuka katika maeneo yao,” alisema. Akizungumzia dawa za kulevya ambazo ni tishio a vijana, alisema serikali inachukua juhudi kupambana na janga hilo.
Alisema serikali zote mbili zinachukua hatua za makusudi katika viwanja vya ndege na bandari kwa kuwakamata watu wanaojihusisha na biashara hiyo haramu na kupunguza kasi ya uingizaji.Aliwaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi ili kuwabaini wahusika wakuu wa mtandao wa biashara hiyo. Alilipongeza kanisa la Restoration kwa jitihada linazochukua kuokoa maisha ya vijana walioathirika na dawa za kulevya.
Mapema Askofu Sedrick Ndonde wa kanisa hilo, alisema taifa limekuwa na cheche hatarishi inayoonekana kuchochea choko choko za kidini, kisiasa pamoja na vitendo vya kigaidi. Alisema hali hiyo inayokwenda sambamba na matumizi ya dawa za kulevya inasababisha mfumko wa uhalifu unaowafanya wananchi waendelee kuishi katika maisha ya hofu.