Thursday, September 11, 2014

HAWALITAKI JINA LA TANGANYIKA KWA SABUBU SIO JINA LA NCHI YAO NI LAKUBATIZWA NA WAKOLONI WAO WAJERUMANI


HII RAMANI INAKUONYESHA WAZI WAPI NI TANGANYIKA NA WAPI SIO TANGANYIKA NDIO MAANA WANAKASIRIKA WAKIAMBIWA NI WATANGANYAKA KWA SABABU BATHI YA NCHI HIZI KAMA UHEHE WALIPINGA KUTAWALIWA NA MJERUMANI NA WALIPIGANA SANA ILI WASITAWALIWE NA MJERUMANI NA HILI NDILO LINAWALO WATISHA KUWA ZANZIBAR TUKICHUKUWA NCHI YETU BASI WAO HAWATABAKISALAMA ANGALIA RANGI UTAJUWA WAPI NA WAPI NDIO TANGANYIKA WALIO KUBALI KUTAWALIWA NA WAJERUMANI NDIO MAANA WENGINE HAWATAKI HATA KULISIKIA JINA LA TANGANYIKA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment