Thursday, September 11, 2014

SCOTLAND,KATALONIA,SOUTH SUDAN NA NYENGINE NYINGI WAMEWEZA KWA NINI ZANZIBAR ISIWEZE...?


SCOTLAND INATAKA KUJITENGA NA UENGEREZE KISA NINI NA WAO WAMEUNGANA TAKRIBAN MIAKA 300 LAKINI SASA WASHACHOKA WANATAKA KUJITENGA NI KWA NINI JIBU UNALO WEWE MSOMAJI NA HAWA NDIO WAZUNGU TUNAO AMBIWA KUWA WAO WANAKILI SANA JE IMEKUWAJE TENE PIA KUMBUKA KUWA SCOTLAND NA ENGLAND SIO KAMA NCHI ZAO HAZIKUNGANA KII ARDHI ANGALIA MAPU HAPO CHINI LAKINI PIA WANATAKA KUJITENGA KILICHO BAKI SASA  SCOTLAND INATAKA KUJITENGA NA KUONANA NA UENGEREZA KATIKA MUUNGANO WA E.U.TU  BASI UMOJA WA NCHI ZA ULAYA


CATALONIA NAYO INATAKA KUJITENGA NA SPAIN KUNANI NA KUMBUKA SIO KISIWA BALI NI BARA LAKINI INATAKA KUJITENGA NA HAITAKI TENA KUWA PAMOJA NA SPAIN KWA NINI JIBU UNALO WEWE MSOMAJI


SOUTH SUDAN NAYO PIA WAMEJITENGA NA WAO SIO KUWA WALIKUWA NCHI TAFAUTI KISHA WAKAUNGANA LAA HASHA NI NCHI MOJA TOKA TANGU NA TANGU MGEREZA NA WEZAKA WALIPO LIGAWA BARA LA FRIKA KAMA MKATE WA KUMIMINA NAO PIA WAMEJITENGA NA KUWA NA NCHI YAO NAO PIA SIO KISIWA NI BARA


HII NDIO BENDARA YA NCHI YA ZANZIBAR BAADA YA KUPATA UHURU KUTOKA KWA MKOLONI MGEREZA NA NDIO BENDERA ILIYO PEPEA UMOJA WA MATAIFA TULIPO JIUNGA NA U.N.


KISHA MAPINDUZI YA KHARAMU YAKAJA YALIYO PANGWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WAKAIPINDUWA NCHI YA ZANZIBAR WAUWAJI WAKAWAU WAZANZIBARI KINA OKELLO NA WENZAKE WAKATULETEA HILI BENDERA BAADA YA KUTIMIZA KAZI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YA KUUWAUWA WAZANZIBARI

KISHA MKOLONI MEUSI AKATULETEA HII YENYE KITOTO CHAKE JUU YA KIKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAKUNA LOLOTE ILA NI KUTAKA KUIYUWA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPOTEZA HISTORIA YA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA KUIPOTEZA NCHI YA ZANZIBAR KABISA KATIKA RAMANI YA DUNIA WAMESAHAU KUWA NCHI YA ZANZIBAR IMEUBWA TANGU NA TANGU JE NI KWA NINI SISI TUSIWEZE KUJITENGA...?
KUBUKA SISI SIO BARA KAMA HIZO NCHI ZILIZO TANGULIA BALI  SISI NI VISIWA TUMEUNGANA NA BARA NA WALA WANANCHI HAWAKULIZWA NI MUUNGANO WA HIYARI SASA UMEGEUKA WAKULAZIMISHANA NA KUTISHANA IKIJESHI UBABE MNA NINI WATANGANYIKA HEBU ANGALIENI HIYO PIC HAPO CHINI MTAJUWA KUWA NYINYI WENYEWE SIO WOTE WATANGANYIKA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

HAWALITAKI JINA LA TANGANYIKA KWA SABUBU SIO JINA LA NCHI YAO NI LAKUBATIZWA NA WAKOLONI WAO WAJERUMANI

HICHI NDICHO KINACHO WATISHA WATANGANYIKA WANAJUWA KUWA WAZANZIBARI TUKICHUKUWA NCHI YETU YA ZANZIBAR BASI WAO HAWATABAKI SALAMA UHEHE WATADAI NCHI YAO RUVUMA WATADAI NCHI YAO UNAYAMWEZI WATADAI NCHI YAO MASAILAND WATADAI NCHI YAO KAGERA WATADAI NCHI YAO WALIO BAKI NDIO TANGANYIKA MNAJIFANYA WAJUWAJI WAKATI HAMUNA LOLOTE WACHOVU.

TUONYESHENI HIYO NCHI INAYO ITWA TANZANIA A.K.A ,TANZANIA BARA,TZ BONGO LAND IKO WAPI ...??

TUONYESHENI HIYO NCHI INAYO ITWA TANZANIA A.K.A.,TANZANIA BARA,TZ BONGO LAND IKO WAPI ...??

No comments:

Post a Comment