Friday, October 3, 2014

EID MUBARAK KWA WAZANZIBARI WOTE BILA YA KUWASAHAU NDUGU ZETU WALIO FUNGWA JELA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HUKO HUKO WALIKO JELA EID MUBARAK

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment