Sunday, October 12, 2014

VIDEO-WAZANIBARI SI WA KULALA NA NJAA - SHEIKH ABEID KARUM-WAZANZIBARI WANALALA NA NJAA CCM INAVIMBA CHAMA CHA MKOLONI MWEUSI

MSIKILIZE MZEE KARUME ANAVYO HIMIZA KUHUSU WAZANZIBARI
WAPEWE KULA NYUMBA WAJENGEWE CCM IKO MADARAKANI
IMEWATIA WAZANZIBARI UMASIKINI WA HALI YA JUU
WAZANZIBARI WAMEKUWA MAYATIMA NDANI YA
NCHI YAO

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment