Friday, October 31, 2014

WAMISRI,WATUNISIA,WALIBYA,WAYEMEN,WAUKRAINA,WAHONGKONG WAMEAMUWA SISI BADO TUNABURUZWA NA WAHAFIDHINA NYUMA YA PAZIA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA LINI....????


VIJANA BURKINA FASO HAWATAKI MCHEZO RAISI KAJIDAI KULETA ZA KULETE WAMEMUWEKA SAWA YEYE NA BARAZA LAKE LA WAWAKILISHI

HUYU NDIE RAISI ALIYEKUWA WA BURKINA FASO KWA MUDA WA MIAKA 27 MADARA MATAMU HATAKI KUONDOKA KATIKA KATIBA AKATAKA KUJIPENYEZEA ULAJI ILI AZIDI KUBAKI MADARAKANI VIJANA WAMEMSHTUKIA WAMEWASHA MOTO MPAKA SASA NCHI HAITAWALIKI SHABAASHIIII

VIJANA BURKINA FASO WAMELICHUKUWA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAWAKILISHI NA WABUNGE WAMELAZA VIJANA BURKINA FASO WAMECHUKUWA BARAZA LA WAWAKILISHI

VIJANA WA BURKINA FASO  WAKILITIA MOTO BARAZA LA WAWAKILISHA MAANA WASHAJUWA SIO BARAZA LA KUNUFAISHA WANANCHI BALI NILAKUNUFAISHA MAWAZIRI NA WABUNGU NA MATUMBO YAO NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO PIGA MOTO TUKOSE WOTE SHAABASHIII

MAGARI YA WAWAKILISHI BURKINA FASO PIGWA MOTO HAPENDI MTU HAPA

VIJANA BURKINA FASO HATA JESHI HAWALIOGOPI

WANAJESHI WAWAUNGA MKONO WANANCHI WAMECHOSHWA NA UHANATHA WA RAISI NA WABUNGU NA WAWAKILISHI WASAKA TONGE WASIO JALI MAISHA YA RAI WENGI NA KUJALI MATUMBO YAO TU NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO

KITUWO CHA TV CHA BURKINA FASO PIA WAMEKICHUKUWA KWA MAWE TU NA PAIPU

CHEKI JAMAA ALIVYO TUNA YUKO TAYARI TAYARI KUWAPA KIBANO NA MAGWANDA YAO HAKUNA CHA KUOGOPA WAO WANA ROHO KAMA SISI TUSIOGOPE MAGWANDA KAMA WANAMPENDA RAISI WAO PIA WATOLEWE WAKIWAUNGA MKONO RAI BASI NCHI IKITULIA WAO NDIO MAJESHI YUTE WAKILETA NOMA TUNAWAPA NOMA

VIJANA BURKINA FASO WAMEIKWANYWUWA KWENYWEWA MIC ZA BARAZA LA WAWAKILISHI ZINAZO WALAGHA SIKU ZOTE NA KUWAPA AHADI ZA UWONGO

CHEKI UMATI WA WABURKINA FASO  WALIVYO AMUWA HAKUNA CHA MUWAKILISHI WALA MBUNGE WALA DIWANI UMMA UMEAMUWA BILA YA WOGA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment:

  1. wallahi sijui wazanzibari tunanini na tunaogopa nn kudai haki ni jihaaad .tumuondoeni shein hatumtaki hatutaki kugaribiwa nchi yetu kwann lakini hawatufahamu .shein hana hata haya hivi anazani yeye niraisi kweli wallahi naumia moyoni naumia sana kwann lakini

    ReplyDelete