Tuesday, November 25, 2014

VIDEO-CCM HEBU ANGALIENE HIZI VIDEO KISHA MUTUMBIYE ABU DHABI,DUBAI,ZANZIBAR,MASCUT NA SHARJAH NI WAPI KUNAONYESHA KUMENDELEA...???

ABU DHABI 2014
HII NDIO ABU DHABI HEBU ANGALIA ILIVYO KISHA JIULIZE CCM KILA SIKU INASEMA INALETA MAENDELEO KWA MUDA WA MIAKA 50 SASA NUSU KARNE HAMA MAJI YA KUNYWA YAMEWASHINDA KUWALETEA WANANCHI MAJI SAFI JE HAYO MAENDELEO WANAYO SEMA NI MAENDELEO YAPI......?
DUBAI 2013
HII NI DUBAI HAYA SASA CCM MAENDELEO YENU MUNAYO TUMBIA KUWA MUNALETA MAENDELEO NI YAPI NA MBONA IMECHUKUWA MIAKA 50 HATA RABO YA HII DUBAI HAMUJA IOTA JE CCM TUKIWAMBIA MAENDELEO YENU NI DOMO TUPU MTAKATA...?
CCM AHA AHA CCM TUTAWALETEA MAENDELEO CCM AHA AHA CCM 
ZANZIBAR 2014
MASCUT 2014
HII NDIO MASCUT KILA KWENYE MKUTANO WA CCM UTASIKIA WAMON WANAITAKA NCHI YETU NYIE CCM HEBU ANGALIENI WENYEWE MULIVYO IFANYA ZANZIBAR KWA MUDA WA MIAKA 50 SASA KISHA ANGALIENI HII VIDEO WAOMANA WALIVYO IFANYA OMAN KISHA MUJIULIZE NANI ANA MAENDELEO....?
SHARJAH 2014
HII NAYO NI SHARJAH HAYA CCM MPOOO MAENDELEO SIO KUSIMAMA KWENYE VIRIRI MKITUKANA WATU NA UBAGUZI LAA MAENDELEO HULETWA KWA KUJENGWA NCHI SIO DOMO TUPU KAMA TARUBETA HIVI MKISEMA MNALETA MAENDELEO HUWA MUNAMANISHA NINI HASWA NYINYI CCCM...?

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment