Thursday, December 11, 2014

HATA MJITIA HAMNAZO MKAE MKIJUWA UKWELI NDIO HUU NA WALA HAUTAFUTIKA MPAKA KIYAMA

HIBU SOMA HAYA MAJINA TU KISHA JIULIZE NDIO MAJINA YA WAARABU YALIVYO..??
HII NDIO SIKU YA KWELI YA UHURU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR
12-JAN-1963 HII NI SIKU YA CHINJA CHINJA AU SIKU YA MAUWAJI YA DUGU ZETU,BABA,AMII,ANTI,DADA,BABU NA BIBI NA WENGINE WOTE WALIO ULIWA NA WATANGANYIKA WAKATA MAKONGE WALIO PANDISHWA VIBOTI KUTOKEA TANGA NA KUJA ZANZIBAR KUJA KUUWA.
             
HAWA NDIO WAKATA MKONGE KATIKA MASHAMBA YA MKONGE AL MARUFUU 

MANAMBA WALIO LETWA KUJA KUUWA WAZANZIBARI.
WAZANZIBARI HALISIA MAKUREISHI WA ZANZIBAR
WAUWAJI NDIO HAWA WALIO WAUWA WAZANZIBARI OKELLO MWENYE KOFIA NA WENZAKE
OKELLO AKIJINATA NA KUWATUKANA WAZANZIBARI NA MACHOGO WA TANGANYIKA
OKELLO BAADA YA KUMALIZA KUUWA NA KIFUA MBELE MZEE KARUME NA BABU WANAMCHEKI TU WANAONA HILI FALAA LISHATURAHISISHIA SISI KUKA MADARAKANI.
OKELLO AKIMKABITHI RASMI MADARAKA MZEE KARUME AKAFIKIRI YEYE ATAPEWA MADARAKA YA JUU KUMBE ATAPIGWA CHANGA LA MACHO NA MZEE KARUME
OKELLA BAADA YA KUMALIZA KUUWA WAZANZIBARI NA MACHOGO YA TANGANYIKA NA KUMKABITHI MZEE KARUME NCHI NA BABU NA HANGA WAKAMGEUKA OKELLO WAKAMUAMBIA UNAITWA TANGANYIKA NA NYERERE ALIPOFIKA NYERERE AKASEMA TIA PINGU FUKUZA NJE YA NCHI YANGU YA TANGANYIKA KWISHA UJABARI WAKE ALIONA SIJUWI ATAKUWA MAKAMO WA RAISI WA ZANZIBAR AMEULA NA CHUYAA
WAHAFIDHINA WA ENZI HIZO UTAMU WA MADARAKA HATA HAWAJALI DUGU ZAO WAMEULIWA KWA UTAMU WA MADARAKA

NYERERE NAE AZIDI KETE KARUME AMWAMBIA TUNGANE AU NACHUKUWA MACHOGO WENZANGU KISHA UTAJIJUWAMWENYEWE MZEE KARUMA AUVAA MKENGE MPAKA LEO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANATUMALIZA KWA NJIA YA MUUNGANO.
WAZANZIBARI TUNATAKA NCHI YETU TU BASI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment