Friday, December 19, 2014

MAJAMBAZI YANAJIUZULU NA KUPANGIWA KAZI NYENGINE ILI WAENDELE KUIBA MTETEA WANYONGE ANAFUKUZWA KAZI CCM OYEEE

bnnn
Huyu wa kwanza ameacha kazi baada ya kushiriki katika njama na ufanikishaji wa wizi wa fedha za umma (Mabilioni ya Escrow)….
Huyu wa pili alifukuzwa kazi miezi michache iliyopita baada ya kutetea haki, ukweli na matakwa ya wananchi katika mchakato wa katiba.
Watanzania ijuweni Serekali ya ccm inavyo fanya kazi za kimafya za kulindana
Hukumu ya vigogo wa ccm ni nguvu ya umma ikiamua (people’s Pewer), bila ya nguvu ya umma basi ccm itaendeleza umafya wake na watanzania tusahau mabadiliko ya maisha bora kwa kila Mtanzania
Chanzo Facebook Julius S. Mtatiro

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment:

  1. thanks for sharing nice blog and good information

    ReplyDelete