Saturday, December 20, 2014

NI YUPI GAIADI...????? MSEMA KWELI NA KUTAKA WANANCHI WAWE NA MAISHA MAZURI AU WANAO IBAA MAMILLIONI KWA MAMILLION NA KUJIRUNDIKIA HUKU WAKIWAWACHA WANANCHI KATIKA HALI MBAYA YA KIMAISHA

MAJAMABAZI WA MAMILLIONI YA MAPESA YA WANANCHI. YANGETUMIKA KWA KUINUWA HALI ZA MAISHA YA WANANCHI ILA LAA WAO WANAIBA WAKITUMIA WAO KATIKA MAISHA YAO NA MAENDELEO YAO BINAAFSI

KESI ZA KUSINGIZIWA NA KUKANDAMIZWA ILI WASISEME UKWELI KUHUSU NCHIKILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment