Friday, December 5, 2014

SHEIN NA UNAFIKI WAKE AKIMEA UBAGUZI PEMBA KWA NINI USIKIME UBAGUZI KISONGE,KIBADA MAITI.ILI BORAFYA,SHAKA,VUAI,BALOZI A.K.A.BALOTELI NA NAFSI YAKO PIA KUACHA KUWACHUKIA UAMSHO NA CUF.


SIKU HII NI SIKU YA FEDHEHA KWA SHEIN NA HATA AKIJITIA KUWA YEYE NI RAIS BLA BLA BLA NDANI YA MOYO WAKO UNAJUWA KUWA WEWE HUKUCHANGULIWA KUWA RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR NA AHADI ZAKO ZOTE KAPUNI

SHEIN UMEUFYATA  ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
 
SHEIN UMEUFYATA  ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA  ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA  ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
Rais wa Maskani ya Kisonge, Shein, ameitahadharisha jamii juu ya vitendo vya ubaguzi, bugudha na manyanyaso kwa misingi ya kisiasa na kueleza kuwa vinaiangamiza jamii.Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Maziwang’ombe, wilaya ya Micheweni, mkoa Kaskazini Pemba jana, Shein alisema wananchi ni lazima wazingatie sheria ya kuanzishwa vyama vingi, ambayo inaeleza wazi kuwa kila mwananchi ana haki na uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa na kushiriki siasa bila kubaguliwa.“Tusiwarithishe chuki wala ugomvi watoto wetu kwani tukiendelea kufanya hivyo tutakuwa tunaiangamiza jamii yetu ambayo tangu mapinduzi ya mwaka 1964 ilikuwa ikiishi kwa amani na upendo,” alisema Shein.

Aliwaeleza wananchi hao kuwa tofauti za itikadi za kisiasa isiwe kisingizio cha kufanyiana chuki, kubaguana na kubugudhiana au kutengana, kwani watu wote ni ndugu na wanahitaji kuishi pamoja kwa upendo na kusaidiana.“Mzazi atabaki kuwa mzazi, mtoto atabaki kuwa mtoto, ndugu atabaki kuwa ndugu; inakuwaje tunafanyiana visa na kuhasimiana kwa kuwa tu mwenzetu mmoja ametoka chama hiki kwenda chama kingine?” aliuliza  Shein. Shein alifika kijijini hapo kukabidhi boti na mashine ya kisasa yenye injini ya uwezo wa nguvufarasi 40 kwa kikundi cha Heri ya Moyo Mmoja kinachoundwa na vijana waliohama chama cha CUF na kujiunga na CCM.Vijana hao walifanyiwa visa vya kunyimwa huduma muhimu na hata kuondolewa katika kazi za pamoja ikiwamo kutengwa katika shughuli za ushirika ndani ya kijiji hicho.Katika mkutano huo uliohudhuriwa na mamia ya wananchi wa kijiji hicho na vijiji vya jirani, Shein aliwakumbusha wananchi kuzingatia historia yao na kuwahimiza kudumisha amani na utulivu na kuwaonya kutoshiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kuwa vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama havitawavumilia.
IMG_6750
MIAKA MINNE MAENDELEO YAKO UNAWALETEA BOTI NA MASHINE AMA KWELI MFA MAJI HAWEZI KUACHA KUTAPATAPA MASHINE MOJA BOTI KIJIJI KIZIMA NYINYI MNAONA WATU WAPUMBAVU KWELI HEBU JIULIZE HUWO UMMA ULIO KUZUNGU BOTI MOJA MASHINE MOJA ITAWASAIDI VIPI....? YUPI ATAKWENDA BAHARI NA YUPI ATABAKI NYUMBA ...? WAPUMBAVU WAKUBWA VIONGOZI MUSIO JUWA NDEE WALA SHIKIO MUSIO JUWA MBELE WALA NYUMA MUPO MUPO TU NA MAENDELEO YA MDOMO MIAKA 50 NDIO MUNAWALETE MASHINE YA BOTI......????  AHAA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment