Thursday, December 4, 2014

SIKU HII NI SIKU YA FEDHEHA KWA SHEIN NA HATA AKIJITIA KUWA YEYE NI RAIS BLA BLA BLA NDANI YA MOYO WAKO UNAJUWA KUWA WEWE HUKUCHANGULIWA KUWA RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR NA AHADI ZAKO ZOTE KAPUNI


SIKU HII SHEIN HUTAISAHAU MAISHA YAKO YOTE UTAKAYO JALIWA KUISHI NI SIKU ULIO SHINDWA UCHAGUZI SIKU AMBAYO HUKUAMINI KAMA WAZANZIBARI HAWAKUTAKA UWE RAIS WAO SIKU WAZANZIBARI WALIO KUONYESHA KUWA WEWE HUFAI KUWA RAIS NA SIO RAIS LAKINI NIKOBE WEWE UKAPANDISHWA MTI

MAALIM SEIF NA MZEE MOYO WAZANZIBARI WANAWAHESHIMU ILA 2015 MUKIJIDAI TENA UPUMBAVU WA HEWALA BWANA MUJUWE MUMEKWISHA
MGOMBEA wa urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi cha Chama Cha (CCM) Mkoloni Mweusi Tanganyika Shein amesema ikiwa atapata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuongoza serikali atahakikisha huduma za jamii zinaiimarika zaidi hasa katika katika vijiji vya Unguja na Pemba. Shein alitoa ahadi hiyo jana wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano uliofanyika kwenye uwanjwa wa Shule ya Nungwi Mkoa Kaskazini Unguja.Mgombea huyo wa urais aliwaeleza wananchi kwamba ahadi ni deni na kwamba CCM imeamua kuanisha ahadi zake katika ilani yake ikiamini ina uhakika wa kuzitekeleza kwani CCM ndio chama chenye kuwaletea wananchi wake maendeleo kwa muda mrefu.(miaka 50 sasa nchi dogo imewashida inanuka)
Akitataja mambo ambayo wananchi watanufaika nayo iwapo wataichagua CCM kuingia ikulu ni pamoja na usambazaji wa maji safi na salama,(yagujuu miaka minne sasa uko uko tu namaji bado hayatoki) upelekaji wa umeme(umeme mawe labda jideni mulilo tubebesha la Wakoloni Weusi Tanganyika ili lituwe lakini umeme hatuna wakizima tumekwisha ndio umeme huo..?) na utengenezaji wa miundombinu ya bararabara.(hahahahaha bora nicheke barabara)Alisema mambo hayo ni masuala yatakayopewa kipaumbele ili kuinua uchumi imara kwa nchi na watu wake hasa katika vijiji vyenye kuhitaji huduma hiyo muhimu ambayo kila mwananchi analazimika kupata kwa wakati. Shein aliahidi kuwa chini ya serikali yake itaijenga bandari ya Mkokotoni ili kukuza uchumi wa watu na kuboresha vipato vyao ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji kuwekeza miradi mikubwa ya kimaendeleo.(tumeiona bandari ya mkokotoni pia umejenga daraja nungwi mpaka tubatu pia umejenga trani ze chini ya bahari mpaka mkoani pemba au sio shein...?)
Alisema wananchi wengi wa ukanda wa pwani wanategemea kilimo na uvuvi hivyo serikali yake itawatizama wananchi hao kwa kuwawezesha kupata masoko ya kuuzia samaki wao ambao kwa wakati huu hakuna kiwanda cha kuzindikizia samaki lakini chini ya uongozi wake watazingatia masuala hayo ya kuwawezesha wavuvi.(sihaba shein kiwanda cha kuzindikia samaki umekijenga kipo pale muembe makumbi na sasa nchi zote za ulaya na marekani na canada na ustralia wananunuwa samaki kwetu sihaba) Shein ambaye ni mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) amewaahidi wananchi wa kijiji hicho kwamba serikali itakayoundwa chini ya uongozi wake itafuata sheria na kuekeleza ilani ya chama hicho ambayo lengo ni kuwaletea wananchi wa Unguja na Pemba maendeleo.(miaka minne tu sasa Zanzibar imebadilika utafikiri uko dubai au hong kong) Alisema wananchi wategemee maendeleo ambayo ni endelevu kwa kuwa sera za chama chake ni kuleta maendeleo na maendeleo ikiwa pamoja na huduma za kijamii kwa wananchi wote bila ya kujali dini, kabila au rangi.(hahahahha bora nicheke hahahahaha)
Shein aliwataka wananchi kumpigia kura ifikapo Octoba 31(hawakukupigia mbona ukangangania na mpaka leo bado umo unajidanganya) chama cha mapinduzi kiendelee kuongoza na kusimamia misingi ya sheria ambapo alisema chini ya serikali yake itafuata kanuni na sheria za nchi(je sheria zenyewe ni kuwapiga Wazanzibari msikiti wa mchangani,msikiti wa mahonda,msikiti wa donge,kuwafunga Masheikh jela hapa Zanzibar ulipo ona haitoshi ukawakamata na Wazanzibari wengine na kuwapeleka nchi ya Tanganyika na kulawitiwa,kutiwa chupa na majiti na vitendo vinginevyo vya kinyama na wewe unakula tu uluwa wako kisha siku ya ijuma atii allah akbari weeeee.) na hatosita kuwachukulia hatua watu ambao watarejesha nyuma maendeleo yaliofikiwa ya maridhiano.(wangapi wamesema serekali ya SUK ivunjwe umewafanya nini...?ofisi yako ya kisonge inawabaguwa wapemba na maneno ya kuvunja amani umewafanya nini...? )Aidha aliwaahidi wananchi wa kijiji hicho kwamba ataheshimu misingi ya sheria na kuendesha serikali kwa kuzingatia sheria huku akisisitiza kuendesha kampeni akitaka kipindi hiki kwa amani na utulivu na kuwataka wananchi kufuata nyayo hizo.“Sitombughudhi mtu, sitomatukana mtu na nitaendesha siasa za kistaarabu mwanzo hadi mwisho wa kampeni hizi na ninakuombeni wana CCM nyote mfuate utaratibu huu mzuri tuliouanza wa kuendesha kampeni kwa njia ya amani na ustaarabu wa hali ya juu” alisisitiza Dk Shein.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment