Sunday, February 1, 2015

VIDEO-TUNDU LISSU A.K.A. RONALDO

KAMA HUMJUWI RONALDO WA SIASA BASI NDIO HUYO FUNGU UJUWE UKWELI WA SIASA SIO SIASA ZA CCM KUDAGANYA WATU KUUWA WATU KUWAPA WATU MAISHA YA DHIKI NA KUWAFUNGA WATU JELA KWA KESI ZA KUBAMBIKIA POLISI WOTE WA NCHI YA ZANZIBAR NA TANGANYIKA SIO POLISI NI WAHUNI TU.
MSIKILIZE LISSU ANAVYO WASHA MOTO BUNGENI HUKO GININGI DODOMA KUHUSU KUDHALILISHWA KWA PROF LIPUMBA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment