Friday, February 20, 2015

VIDEO-WAZANZIBARI WOTE TUFANYE HIVI ILI TUWATOWE MASHEIKH WETU NDANI YA MINYORORO YA DHULMA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.MZANZIBARI KAMA MANENO HAYA HAYAJA KUMSHA KATIKA USINGIZI MNONO ULIO LALA BASI UNAHITAJI DUWA KUBWA WEWE KUOMBEWA FIKIRI VIZURI KUNA KIYAMA.KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment