Sunday, March 1, 2015

NEMBO YA NCHI YA TANGANYIKA NDIO NEMBO YA TANZANIA BARA AU TANZANIA WATANGANYIKA BADO MUMELALA..??

10257803_10203827801318939_2169223216247427319_n
NCHI NI TANGANYIKA-LAKINI WANATAPATAPA NA KUDANGANYA WANANCHI WAO KUWA NI..TANZANIA,TANZANIA BARA MARA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. VIONGOZI WENU WANAWAGUBIKA KUWA NCHI MASIKINI NA WAO NA FAMILIA ZAO WANAENDELEA KUJITAJIRISHA NCHI INA GASI,THAHABU,ALMASI,TANZANIGHTI,ARDHI KUBWA YENYE RUTUBA,MBUGA ZA WANYAMA LISTI NI NDEFU. ILI KILA KUKICHA NCHI YA TANGANYIKA VIONGOZI WENU WANASEMA MASIKINI ILA WAO KILA MOJA ANA NYUMBA ZAIDI YA 6 WAMEFUNGUWA BENKI NCHI ZA NJE KILA MRADI BASI UNA MKONO WA MKUBWA RAI WA KAWAIDA MUNAMBIWA AMANI NA UTULIVU. MAENDELEO YANAKUJA MPAKA LINI HAYO MAENDELEO MAANA BABU ZENU WALIO PIGANIA UHURU HAWAKUYAONA MAENDELEO NA NYINYI MUMEZALIWA MPAKA MNAZEEKA BADO MNAMBIWA AMANI NA UTULIVU MAENDELEO YANAKUJA SIJUWI YAMEKWAMA WAPI HAYA MAENDELEO ILI TUYAPELEKE BOTI AU DALADALA HII SASA IMEKUWA SIO TANGANYIKA BALI IMEKUWA DANGANYIKA AU PA UNAEZA UKASEMA DANGANYIKENI.
1)TANZANIA.
2)TANGANYIKA.
3)TANZANIA BARA.
4)DANGANYIKA BARA.
5)JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
6)JAMHURI YA MUUNGANO WA WADANGANYIFU.
  1. KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment