Monday, March 30, 2015

VIDEO-RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD AMTEMBELEA SHAMIS ALI MOJA KATIKA WALIO JERUHIWA JANA KATIKA MSAFARA WAKITOKEA MKUTANONI MAKUNDUCHI

mgonjwaRais wa nchi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amtembelea kijana Shamis Ali Khamis nyumbani kwao Mwembemakumbi. Shamis ni mmoja kati ya watu waliojeruhiwa na Janjawidi na Ubayaubaya wakati msafara wao ukiwa njiani kutoka mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) katika jimbo la Makunduchi, Unguja Kusini nchini Zanzibar. Kijana huyo aliyejeruhiwa jicho la kulia anasafirishwa leo kuelekea jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika kwa matibabu zaidi.

MUNGU ALIUMBA DUNIA NA NCHI YA ZANZIBAR TANGU NA TANGU

Wanamzalendo,Wazanzibari wote Mulio ndani ya nchi na nje ya nchi ipo haja ya kuwapigia Harambee waliofikwa na masiba haya ili wajihisi nasi tupo pamoja nao na ziwasaidie katika matibabu.


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment