Sunday, March 29, 2015

SHAKA KIPOFU WA AKILI SEIF IDDI BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA VUAI ALI VUAI WOTE WAANZA KUHARIBIKIWA NA AKILI


Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi amewataka 

viongozi wa CUF atii kuacha kuchochea fujo na iwapo 

wataendelea watakiona cha mtema kuni kwani dola 

haichezewi. Vuai Ali Vuai nae anasema hawatakubali kuiitiwa 

kiongozi wao msaliti au Balozi Mkaazi wa Tanganyika. Na 

Shaka Hamdu Shaka Kipofu wa Akili anasema Maalim Seif 

atii aache kuhatarisha serikali ya umoja wa kitaifa na hoja 

binafsi ya kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa ipo pale pale na 

Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salum Al Jazirah ndio 

atakayekwenda kuwasilisha hoja hiyo barazani naye 

akapanda jukwaani kukubali dhamana hiyo ya kupeleka hoja 

binafsi waulizwe wananchi iwapo wanataka kuendelea na 

mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa au laaa.

Lakini wakati huo huo Shaka kasema wao kama umoja wa 

vijana hawako tayari kuona serikali ya umoja wa kitaifa 

inawafia mikononi mwao na ndio alipomlaumu Maalim Seif 

atii 

kwa kutoa lugha hatarishi ambazo zinapelekea kudhoofisha 

umoja nchini. Huku akitoa mifano ya nchi ambazo ziliungana 

na kuunda serikali ya umoja na baadae zikarudi katika 

mfumo 

wa awali hivyo sio ajabu kwa Zanzibar kurudia mfumo 

waliotoka kwani serikali za kitaifa huundwa kwa muda tu. Huo 

ndio Shaka Hamdu Shaka. In biological

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment