Sunday, March 29, 2015

TUNDA LILILO SUBIRIWA LEMEWIVA MAKUNDUCHI


Maalim Seif Sharrif Hamad akihutubia huko Makunduchi Mkutano ulio fanyika leo

Ummati ukimsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad huko Makunduchi.

Umati uliendelea kufurika katika kilakipembe cha Makunduchi na pembe za nchi nzima kuja kumsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad akihutubia.

Wananchi wa nchi ya Zanzibar wapenda amani na utulivu wakimsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad.

Mkutano wa Chama Cha Wananchi (CUF) Makunduchi 

wananchi zaidi 580 wameorodheshwa kuchukua 

za kadi Chama Cha Cuf hivi sasa.. Na wengine hawajawahi 

kutokana na kuwa muda hautoshi. Watu wa Makunduchi leo 

ni sherehe kwao.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment