Tuesday, March 3, 2015

VIDEO-RAP KALI SANAA-VIJANA WA MGUU MBELE MGUU NYUMA WA KIZANZIBARI WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO YA ZANZIBAR.

DAMU MPYA,VIJANA IMARA,WAKAKAMAVU,WENYE UCHUNGU NA NCHI
VIJANA WA MGUU MBELE MGUU NYUMA NA RAP KALI YA KUELEZA
HALI HALISI YA NCHI YETU YA ZANZIBAR.
HUYU NI MBUNGE WA DIMANI AKIKATIKA MAUNO BAADA YA KUMALIZA KUTUNGA KATIBA LA KIKOLONI WANALOTAKA KULILETA NCHINI ZANZIBAR
POLISI YA NCHI YA ZANZIBAR NA NCHI YA TANGANYIKA SIO KULINDA RAI WAKE
BALI NI KUUWA RAI WAKE KAMA HUWAMINI ANGALIA VIDEO HIZI. 
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment