Thursday, April 30, 2015

IBADA YA KUABUDU MOTO IMEANZA HUKO SONGEA MKOA WA RUVUMA NCHINI TANGANYIKA NA KUONGOZWA NA RAISI WA MASKANI YA KISONGE SHEINWanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya Msingi Ndonga wilayani Nyasa Mkoa Ruvuma Nchini Tanganyika wakisomea darasa ambalo halijaezekwa kwa mwaka mmoja sasa na mvua na jua iko juu ya vichwa vya watoto hao viongozi wanaponda tuu fadha kusherekea IBADA YA MOTO MWENGE ameona wapi duniani...?

MADHARI YA NYUMBA NA MJI WA SONGEA ULIVYO CHOKA ILA PESA ZA KUFANYIA IBADA YA KUABUDU MOTO SEREKALI INAYO ILA HAINA PESA ZA KUWAPA MAJI SAFI,UMEME,HOSPITALI,AMBULANSI YA KUBEBEA WAGONJWA,ELIMU BORA N.K. ILA ZA MWENGE WANAZO NA NYINYI WANANCHI WAPUMBAVU WAKUBWA MNAJAZANA TELE STADIUM KUSIKILIZA UPUMBAVU NA PUMBA WAKE ZAO HAWAJIFUNGUWI HOSPITALI MUNAZO JIFUNGUWA NYINYI WATOTO WAO HAWAENDE SKULI WANAZO SOMA WATOTO WENU BADO TU HAMJA AMKA 2015 HIYOOOOOOOOOOOOOO

WANANCHI wa Kijiji cha Mtengashari Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma wawakumbusha Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutimiza ahadi yao ya kuwajengea Zahanati Kijijini hapo hata sio hospitali zahani miaka 50 na ushaiya jioneani wananchi kuwa CCM sio chama kitakacho kuletea wewe maendeleo bali ni chama cha kukumaliza wewe na wao kujaza matumbo na familia zao wanaiba mabillioni kwa mabillioni wala hawaende jela wanapeta EPA,WSCROW N.K. zahanati hiyo hapo inaporomoka CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee

Innalillaahi wa ina ilahii raajiuun
Huu ni msiba mkubwa sana.Nini faida ya jimoto hili,wananchi wanalala na njaa,maji safi hawana,umeme hakuna,usafiri wa uhakika hakuna,elimu hakuna,ajira hakuna,vijana wanazurura tu na kuvuta maunga drugs,dada zetu wanazidi kuwa malaya,watoto mayatima wanongezeka barabarani,mlo moja kwa siki ukijaliwa kuupata,hospitali hakuna, madawa hakuna,wanafunzi wanakaa chini na kadhalika.Wao pesa wanaziwashia mwenge ili watoke ikulu waje nje kuchezacheza maana kama hakuna sherehe za moto itabidi agande ikulu.Huu ni ubadhirifu wa fedha za umma. Pesa zetu sisi wananchi maana zao washazifisha nchi za nje zetu sisi za kutuletea mandeleo ndio hizi mara moto mara muungano feki mara siku za mashuja wanazo wanazifisidi na sisi mijuhaa tumeja tele stadium, wananchi wanakamuliwa kuchangia hizo mbio za mwenge.Tunausherehekea moto badala ya kuukimbia moto kama sio wazima nini...??? Hebu tuwambiye hawa viongozi kuanzia sasa hakuna tena kusherehekea lolote mpaka nchi hii itengene wala hakuna kiongozi kusafiri nje ya nchi kwa jambo lolote au matibabu yoyote ukiumwa wewe mkeo au mtoto wako au kiongozi yoyote tunakupeleka muhimbili au amana hospitali au mnazi moja nchini Zanzibar au mahonda zahanati nchini Zanzibar mpaka nchi hii itengenea muuona kama hata kuna mtu atataka kungombea udiwana wote watakata lakini wanajuwa wakiwa wabunge mawaziri raisi ndio yeye na familia yake washaukata maneno ya vijana ndio maana masherehe ya kipumbavu yasio kwisha kila kukicha.Kisha utasikia nchi haina pesa nchi imeja madeni kinyoko kinyokoko upumbavu mtu na sisi wananchi tumo tu kama mangombe yanayo nyonyesha.Ya rabbi tustiri na utuepeshe na moto,utuepusha na viongozi hawa madhalim na kila wanaishirikiana nae Amin. Haya kwa uwezo wa M.Mungu Mwengi wa Rahma atayaepusha mbali katika nchi yetu ya Zanzibar. Yashapitwa na wakati kwa nchi yetu ya Zanzibari hatuna haja tena ya kupumbazwa kwa kufurusha moto. Faida yake ni nini.........????? Zaidi ni Kuvusha wauwaji na majambazi kutoka kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika kuja nchini kwetu Zanzibar, ili kusaidia chama tawala kuiba kura, na kuendelza ukoloni kutawala kibabe , Kibri.Wazazi hospital wanajifungua milangoni, huduma mbovu na duni, na elimu hayasemeki, uoza, uzushi na upotoshaji wa historia ya nchi yetu ya Zanzibar kwa makusudi . Until when........??????? Freedom and liberty.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment