Sunday, April 26, 2015

JENGO JIPYA LA UHAMIYAJI LAFUNGULIWA NCHINI ZANZIBAR TATIZO WAFANYIKAZI WOTE NI KUTOKA KWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

2713
HEBU JIULIZE WEWE MZANZIBARI YUPI KATIKA HAWA ATAKUPA HAKI YAKO YA PASPOTI UKITIMIA MIAKA 18 IKIWA BABA YAKO NA BABU YAKO HAWAKUPEWA..???
2731
FAIDA ZA MUUNGANO WAZANZIBARI MUNAJENGEWA MASKANI NA TV MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANAJEGA OFISI NZURI WATU WAKE WAFANYE KAZI YA KUWAMALIZA WAZANZIBARI.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment