Wednesday, April 1, 2015

VIDEO-NIVIJANA WA NCHI YA ZANZIBAR LAKINI WASALITI WAKUBWA KWA SABABU TU YA ULUWA WAKUJAZA MATUMBO YAO YASIO SHIBAA


Haya hawa ni vijana wa nchi ya Zanzibar lakini wapi uluwa umewalivya hawasiki hawaoni wanacho kijuwa wao ni uluwa tu basi hata kama nchi ya Zanzibar itamezwa haliwashughulishi. Waswahili tunasema kikulacho kinguwoni mwako basi Wazanzibari mkae mkijuwa hawa ndio wanao tula na kuja matumbo yao na kuwawacha Wazanzibari wengine wakiendelea kuwa na maisha duni wakidai ati M.mungu hivyo ndivyo alivyo wajali kumbe wao wanaiba wakijaza matumbo yao na kuwawacha wengine wakiteseka na maisha.Wala msimtafute mchawi mwengine , Mwakilishi wa Rahaleo wakwanza kushoto katika pic hii ameandaliwa kuwasilisha hoja binafsi ya kura ya maoni,iliyowachwa na Marehemu Salmin Awadh CCM GoGo.....
Sana ambae ni mzaliwa wa Pemba ameamua kujitwika mwenyewe ili watakapofanya mchezo wao wa chukua tunaweka bwaaaa ije isemwe ,hoja imepelekwa na wa Pemba wenyewe wakati sio kweli huyu ni Msaliti anataka Kuwasaliti wote sio tu Wapemba bali na Wanguja pia kwani nchi hii ni yetu sote Unguja na Pemba ndio tukawa na Zanzibar kwa hiyo akifanya hivyo KATUSALITI SOTE WAZANZIBARI Mwezi Oktoba hawa wote ni DELETE DELETE DELETE FUTA KABISA nivijana ila ni SUMU ya kutaka KUUWAUWA WAZANZIBAR kwa jili ya ULUWA WA MATUMBO YAO.....
Haya na liwe lolote lile tunasubiri,ila liwepo pia azimio walopeleka hoja hiyo ikishindwa wasulubiwe au watupwe kwa wananchi tuwahukumu kama wizi vile WASALITI HAWA WAKUBWA WALIO HADAIKA NA VIJISENTI VIDOGO NA WAKIPITA MITAANI WAZOMEWE SANA MPAKA NCHI WAIYONI CHUGU KAMA SHUBILI WASALITI WAKUBWA........
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment