Friday, April 17, 2015

VIDEO- SITTA MEETS DIASPORA UK [PART 5] SITTA ANAYO ZANZIBAR ANAILA ROHO

Sasa nyie Watanganyika baada ya kukaa kote nje na kuona ulimwengu unavyo kwenda; Kwenye nchi za demokrasia bado mnadanganywa na huyu Babu Zero.....??
CCM WAME KATAA ( viongozi wa juu wa ccm) kwasababu maoni ya wananchi hayamo katika katiba Babu Zero na wenzake wakandika katiba watakayo wao itakayo walinda katika kuiba mali za nchi na kuwalinda wao wakiuwa wananchi na kuendelea na ufisadi wao sasa bila ya woga maana sasa kila rai anaona wanaiba hawapelekwi mahakamani wanabadilishwa vyeo basi ila wewe rai ukiba kuku miaka 45 jela katiba yao hiyo ya ufisadi na maoni ya wananchi na kuandika katiba wanayo taka wao. Halafu waipeleke kwa wanachi ambao wengi wao hawajuwi hata thamani ya kura yao.
Ccm wanajiona wao kama wame chaguliwa na Mungu wa watawale watu wakitaka wasitake. Wana ilalamikiya nchi ya Kenya kuwa atii inavutiya kwake Kenya inavutia kwake....? nyinyi hamvuti kwenu munataka kuigauza nchi ya Zanzibar nchi nchi nchi iwe ni Mtaa sasa hata sio wilaya tena Mtaa wa Zanzibar je huko sio kujivutia na kuuwa...? Wakenya wako macho sio kama Shein,Borafya,Samia,Nahodha,Vuai ali,kipofu wa akili Shaka, n.k. Ni haki yao. Muli ivunja East Africa co,mmunity kwa husda kama hizo.Kenya ikaanzisha shirika lake la ndege na lika endeleya mpaka leo linatambulika ulimwenguni. Tanganyika shirika lake lilikufa kibudu kwa sababu ya wizi ulofanywa na waendeshaji wa wa shirika nyie Watanganyika imekuwa kama ibada kwenu simasikini si tajiri si raia wakawaida si kiongozi wote WEZI kama hakuna cha kuiba basi mtu anajibia mwenyewe ndio muone RAHA na wala HAMTOSHEKI. Wala hakuna alo wajibishwa. Kawaida yenu. Kama vile kashfa ya Epa na sasa Escraw. Kulindana huwo ndio utamaduni wa CCM.
Kilimanjaro tokeya mwanzo ili jengwa kuwa International Airport. Haikuweza kuendelea sawa sawa kwa matatizo yale yale kila siku.
CCM LAZIMA IWEKWE BENCH IMESHAIFISIDI NCHI SANA YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NDIO MUMO MBIONI KUTAKA KUIZIKA KATIKA KICHAKA HATA SIO KABURI. WANANCHI WANA TAKA MABADILIKO YA KWELI.
KATIBA YA NCHI YA TANGANYIKA PENDEKEZWA HAIFAI WATANGANYIKA WAZANZIBARI WANAKATIBA YAO KAZI MNAYO NYINYI TANGANYIKA NCHI KUBWA HATA KATIBA HALINA SASA LINATAKA KUWAIBIA WAKENYA, WABURUNDI, WARUWANDA NA WAGANDA KATIKA UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI AJABU VIPI NCHI HIZI ZINAIKARIBISHA NCHI ISIYO NA KATIBA KATIKA UMOJA WAO...? VIPI MNAIKARIBISHA NCHI ILIYO JA UFISADI...? VIPI MNAIKARIBISHA NCHI MNAYO JUWA KUWA INATAKA KUMUUWA MSHIRIKA WAKE AMBAE NI ZANZIBAR...? VIPI NYINYI MNAKUBALI KUMUINGIZA KATIKA UMOJA WENU NCHI ZA ULAYA WAGELIKATA MPAKA WAYAWEKE SAWA HAYO KWANZA. 


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment