Thursday, April 30, 2015

VIDEO-VIONGOZI WA NCHI YA TANGANYIKA WANAWATIA KASUMBA WAZANZIBARI KUHUSU WAARABU WAWACHUKIYE WAKATI WAO WANAWABUDU


Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba ncini Tanganyika Nehemia Mchechu (wakwanza kushoto), watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai Ali Rashid Ahmed Lootah, wapili kutoka kulia ni  Issack Peter, na wakwanza kutoka kulia ni Balozi Mdogo Omar Mjenga, watembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu za Kigamboni zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mapema leo asubuhi jijini Dar es salaam nchini Tanganyika. 
SIKILIZA KASUMBA NA UCHOCHEZI KISHA MTU KAMA HUYU MNASEMA KASOMA
Mchechu akimwelezea  Lootah ubora wa nyumba za mradi wa gharama nafuu (hazipo pichani) zilizojengwa katika eneo hilo la Kigamboni jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika.

Samuel Sitta: Wa- Zanzibar wa Oman watapindua nchi haya nchi ngani ya Tanganyika au ya Zanzibar mnayo sema sio nchi....???

Baadhi ya Nyumba za mradi za gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Kigamboni.Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika,Dubai Omar wakizikanguwa nyumba ndio hizo.

Mwigulu Nchemba ampaka kamasi na gaga la kutoka puwani kwake M.Tanganyika Mwenzake kwa jinsi anavyo litharau jina la nchi yake mwenyewe ya Tanganyika.

Mjenga akizungumza mara baada ya kumaliza kuangalia mradi wa nyumba hizo za gharama.kisha lukuvi na sitta wanasema nchi ya Zanzibar ikijitenga tu basi warabu watarudi na kuanzisha uislamu wa siasa kali na kuwa na channel ya dini ya kislamu ya kueneza chuki zaidi ya Tanganyika kisha al-shabab watawasaidi wazanzibar na kurusha makombora dar es salaam itakuwa haikaliki haya wazanzibari endeleani kuwasikiliza hawa makelbu wakubwa nchi Zanzibar inazidi kuangamia nchi Tanganyika inazidi kunemeka na hao hao wanao dai wao ni warabu ushahidi huu hapa.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment