Saturday, May 30, 2015

VIDEO-BADO........UMEME,MAJI SAFI,VYAKULA,BARABARA,VIJANA HAWANA AJIRA

MIMI MPIGA KURA MIAKA 40 BADO KWA MAMA NAKULA
WANAO SIMAMIA HAKI NDIO WANAO SHIKWA NA POLISI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Friday, May 29, 2015

MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ACHUKUWA FOMU YA KUGOMBEA URAISI NCHINI ZANZIBAR ASEMA USHINDI WAKE HAUTACHEZEWA NA MTU. ((CCM WAHARA WAKIJIPAKA))

Katibu Mkuu wa CUF ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu za kuwania nafasi ya urais wa kisiwa hicho kupitia chama hicho baada ya kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho wa Wilaya ya Magharibi, Saleh Muhammed Saleh. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Duni Haji
Nchini Zanzibar. Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad jana alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa nchi ya Zanzibar kwa mara ya tano huku akisema ushindi wake hautachezewa na mtu.
Mara ya kwanza Maalim Seif Shariff Hamad aliwania urais wa nchi ya Zanzibar mwaka 1995 na amekuwa akifanya hivyo katika chaguzi zilizofuatia na kuporwa ushindi wake na sasa anawania tena kuingia Ikulu Oktoba. Baada ya kuchukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizopo Bububu jana, Maalim Seif Shariff Hamad alisema ataheshimu matokeo ya urais endapo uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar, alisema matarajio yake makubwa katika uchaguzi ujao ni kwamba utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu.
Alisema ni matumaini yake kwamba mara hii ataongoza na kuibuka kuwa rais endapo uchaguzi utakuwa huru na haki. “Kama wananchi wa Zanzibar watanipigia kura kwa wingi nawahakikishia hakuna mtu yeyote atakayechezea ushindi wangu,” alisema Maalim Seif. Akizungumzia afya yake kuelekea Uchaguzi Mkuu, Maalim Seif alisema anagombea nafasi hiyo akiwa mzima wa afya na hana shaka, hivyo wananchi waondoe hofu katika hilo. “Nachukua fomu ya urais na matarajio yangu makubwa ni kushinda katika uchaguzi mkuu ambao utafanyika katika mazingira ya amani,” alisema.
Kuhusu masuala ya uchumi, alisema atahakikisha ajira zaidi kwa vijana zinaimarishwa na kuongeza maeneo huru ya uchumi. “Hivyo ndivyo vipaumbele vyangu nikichaguliwa na wananchi wa nchi yetu ya Zanzibar kuwa Rais katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa,” alisema. Hafla ya Maalim Seif kuchukua fomu ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo mawaziri katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutoka CUF. Maalim Seif aliwataka wanachama wengine kujitokeza kugombea nafasi hiyo kwa kuwa ni haki yao kikatiba.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Thursday, May 28, 2015

PANDU AMIR KIFICHO NI KUBWA LAO KUMBE NDIO JENGA LAO VUAI ALI VUAI AKILI ZAKO UMEZIWEKA KWENYE TUMBO LAKO NDILO LINALO KUPA SHIDA


WAKUU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawachoki kumshambulia Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, licha ya kuwa pia ndiye Makamo wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar.
Wala hawajali mashambulizi yao yanayofikia kumtusi na kumdhalilisha, kama binaadamu na kama kiongozi katika nchi, yameshindwa kumdhoofisha kisiasa. Kinyume chake, wamezidi kumjenga na matokeo yake, ni hali inayojionesha ya kuimarika kwa CUF, chama alichokiasisi tangu 1992.
CUF imekua isivyo kawaida. Mafanikio yake yanaelezeka kirahisi hata kwa anayeichukia.
 • Kimefanikiwa kueneza itikadi yake ya utajirisho nchi nzima na ughaibuni.
 • Ni sehemu ya Serikali ikiwa na Makamo wa Rais na mawaziri saba.
 • Kimefuta kile wapinzani wake walichokiaminisha kuwa kina nguvu tu Pemba; kina wawakilishi na wabunge Unguja.
 • Kina taarifa nyingi za mipango ya kukihujumu.
 • Kimekuwa kimbilio kuu la wana-CCM.
 • Kimepokea mawaziri watatu wa zamani kutoka CCM.
 • Kimefanikiwa kukusanya raslimali nyingi kwa maandalizi ya uchaguzi ujao.
 • Ndio tumaini la maendeleo na maisha kwa Wazanzibari wakubwa na vijana.
Chama kimekuwa na nguvu kubwa kiasi cha kulazimisha wakuu wa CCM kukosa utulivu,usingiza,mitetemeko ya moyo na kukosa raha katika nafsi zao kwa kuona kinapokwa madaraka. Ile hali iliyokuwepo miaka ya mwanzo ya mfumo wa vyama vingi 1992, ya baadhi ya wana-CUF kuhofia kuvaa hadharani sare za chama, sasa imehamia CCM. Hali ni mbaya kwa CCM kwa sababu baada ya kushuhudia umma wa vijana kwa wazee wake kwa waume wakikitenga CCM na kuchagua CUF, tena kwa fakhari wakikabidhiwa kadi na Maalim Seif, sasa mikutano ya CCM inadharauliwa na wananchi wa nchi ya Zanzibar kwa hali ya juu maana washajuwa wanacho kwenda kukisikia sio kutatuliwa matatizo yao ya kimaisha bali ni matusi kwenda.
Kwa kuwa CCM haiaminiki tena hapa nchini Zanzibar, wengi hawajali kukosa hotuba za viongozi wake au wao. Kule kuamini kuwa watakachosikia ni matusi zaidi, kumechangia kuwatenga na kutoona haja ya kuhudhuria mikutano ya chama hicho. Wiki iliyopita, wakazi wa Magogoni na maeneo jirani, walisogelea mkutano wa hadhara uliotangazwa kwa siku mbili na kuahidiwa mhutubiaji mkuu angekuwa Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika iliyepo hapa nchini Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. Masikini wee, hakufika mkutanoni, na hakuna sababu iliyotajwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, ya kutofika kwa kiongozi huyo.
“Mnamo saa 11.15 (saa 11 na robo) nilipita nikashuhudia watu wachache wanamsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi kubwa lao kumbe ndio jinga lao,” amesema msomaji wa safu hii aliyenipigia simu Ijumaa wiki iliyopita. Msomaji anasema baadaye alimpigia simu ndugu yake anayeishi karibu na uwanja wa Kwa Mabata, jimbo la Magogoni, ngome ya CUF, na kumuuliza mkutano ulivyomalizika. “Ameniambia Balozi Seif hakufika mkutanoni. Anadhani maofisa wa usalama walimzuia kutoka kwa sababu mkutano ulikuwa na watu wachache sana,” anasema. Nimethibitishiwa na vyanzo ndani ya CCM tukio kama hilo la Balozi kutofika kwenye mkutano wa CCM aliotarajiwa kuhutubia, inakuwa mazoea.
“Usishangae, mara nyingi dakika za mwisho Balozi anazuiwa kwenda mkutanoni kwani kumekosekana watu wa kumsikiliza. Ndiyo hali halisi, chama kina hali ngumu kwa kweli,” anasema. Wananchi waliokuwa wamesimama kwa mbali uwanjani wakisikiliza, wengi wakionekana kama si wapenzi wa CCM, walianza kuondoka, walipomsikia Vuai akiporomosha kauli za Uchochezi na Matusi.
Vuai ambaye Machi mwaka huu alinukuliwa akitamba CCM itahakikisha Maalim Seif anabakia Makamo wa Rais na siyo Rais wa nchi ya Zanzibar, alirudia kauli hiyo, safari hii akija na mapya yanayoonesha namna CCM walivyopanga kung’ang’ania madaraka, wakipuuza msingi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Amenukuliwa akisema, “… tunasema hata siku moja hawezi kuwa rais, haiwezekani na haiwezekani, kama anasema iko siku atakuwa rais, labda Mtambwe kwa sababu ana nia chafu na hawapendi Wazanzibari. Mtambwe ndio kijiji cha nyumbani kwao Maalim Seif, ndani ya Wilaya ya Wete, Kaskazini Pemba. “CCM imejidhatiti na kuhakikisha katika uchaguzi tunaendelea kushinda na kuchukua majimbo yote ya Unguja, baada ya kufanyika mabadiliko makubwa ya mipaka ya majimbo ya uchaguzi.” “Hakuna jimbo la Magogoni wala Mtoni litakalotoka CCM na kuchukuliwa na CUF mwaka huu, tumejidhatiti.” Vuai anasema serikali haitamvumilia mtu yeyote anayeazimia kufanya fujo. Akadai wao wanazijua mbinu za Maalim Seif za kutaka kuleta vurugu.KIFICHO KUBWA LAO NDIO JINGA LAO LIMEJIFICHA WEEEE MPAKA SASA LIMESHINDWA KUJIFICHA LIMEFICHUKA LISIKILIZE LINAVYO BWABWAJI KISHA NDIO SPIKA HUYU NDIO MAANA NCHI YA ZANZIBAR HAENDELEI MAANA TUNA MIJUTI IPO IPO TU KWA MATUMBO YAO.
Wakati huo, Spika Pandu Ameir Kificho na Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi, Yussuf Mohamed Yussuf, mbunge mstaafu Mwembemakumbi, walishampakazia Maalim Seif wakimtaja kama kiongozi mchochezi. Yussuf alinukuliwa akimtaja Maalim Seif kama adui mkubwa wa nchi ya Zanzibar na Wazanzibari, ndo maana “amekuwa akizorotesha misingi ya Mapinduzi na Muungano.” Kificho aliye nadra kuhutubia mikutano ya hadhara, alisema Maalim Seif anatoa kauli zinazohatarisha amani wakati ni mmoja wa viongozi wakuu serikalini. Aliipigia chapuo Katiba Inayopendekezwa ambayo aliisimamia ipitishwe licha ya kukosa maslahi yaliyotarajiwa na Wazanzibari na kwa nchi ya Zanzibar kificho anataka ipitishwe tu hili jitu sijuwi namna gani.
Lakini akigusia Mapinduzi ya nchi ya Zanzibar na Muungano feki wa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar, alisema misingi yake ikitetereka, itavuruga mshikamano wakati “Wazanzibari wanaoishi katika nchi ya Tanganyika wanafikia laki tano (500,000) ambao muungano feki ukivunjika Zanzibar itashindwa pa kuwaweka hao Wazanzibari wafikao laki tano.”(nambiya tena hili kificho ni kubwa lao lakini ndio jinga lao) Hakugusia chochote kuhusu mbinu za CCM kuwakusanya kama dagaa Watanganyika na kuwapeleka Zanzibar unapokaribia uchaguzi ili waibebe CCM kwa kura za hila. Bali hajasema lini waliogoma kuondoka nchini Zanzibar baada ya uchaguzi, watarudi Tanganyika. Na ajue Zanzibar kama nchi ya visiwa ina haki, kulingana na sheria za kimataifa, ya kulindwa isivurugwe silka zake.
CCM inaumia sasa kwa mbinu zake kufichuliwa. Isipotengeneza hofu mitaani, CCM haina maringo na haichaguliki. Uonapo viongozi wake wanazidisha mashambulizi kwa Maalim Seif, ni kwa vile tu anazianika njama zao. Analaumu kuitumia Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na Idara inayotoa Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, kutafuta ushindi wa nguvu. Ni kujiandaa na anguko la kihistoria. Nguvu wanazoongeza za propaganda zinasema dhahiri kuwa arobaini ya CCM imefika. Hakuna Donge, hakuna Makunduchi, hakuna Kiembesamaki wala Kikwajuni. Anguko tu. Tena anguko mbele ya matumizi ya vikosi vya ulinzi na usalama wa taifa. Wakati haukubali tena hila, vitisho, ulaghai na uongo.
CCM inatumia yote hayo, huku CUF imempokea Juma Hamad Omar, waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii wakati wa uongozi wa Ali Hassan Mwinyi, na Mohamed Hashim Ismail, naibu waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar. Hamad amejisogeza kwenye uteuzi wa kugombea ubunge jimboni Wawi, ambako Hamad Rashid Mohamed ametema kiti akitangaza kugombea urais kupitia Alliance for Democratic Change (ADC) alichokiasisi baada ya kufukuzwa 2013. Hashim ambaye pia aliongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB), mfano wa TRA, amejisogeza kwenye uteuzi wa kugombea uwakilishi kwao Dimani. CUF tayari inaye Mansour Yussuf Himid, shujaa aliyeapa kuipigania Zanzibar yenye mamlaka kamili tangu akiwa waziri wakati wa Amani Karume na Shein. Wameichagua haki CCM imebakiwa na kipovu cha mwisho.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Wednesday, May 27, 2015

VIDEO-RAP NA NYIMBO KWA JILI YA KUIKOMBOWA NCHI YETU YA ZANZIBAR ZAIDI YA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA

DELETE FUTA KABISA MADALALI WOTE
MGUU MBELE MGUU NYUMA
TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR
MAALIM SEIF NA KARUME
NIACHENI NILIYEE
KABLA YA MAPINDUZI YA ZANZIBARIpo siku utabiri huo utatimia, utatimia kwa namna gani, mimi sifahamu. Wapo waliojaribu kutoka CCM na kuanzisha vyama vyao au kujiunga na vyama vingine vya siasa vilivyopo, pengine mshindo wao haukuweza kuing’oa CCM, lakini ni makosa tukisema kuwa mshindo wao ulikuwa mdogo

HATUTAKI WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA
KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA HAO
VIBARAKA WENU MWISHO CHUMBE
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

KESI YA MASHEIKH DANADANA-NYERERE JUU YA UBAYA WAKE ZAIDI YA WAZANZIBARI NA NCHI YAO YA ZANZIBAR ALIWAPA HISHIMA KIDOGO MASHEIKH SHEIN NA KIKWETE MNAWAFANYA NINI MASHEIKH.....???LINA FAIDA GANI KUITWA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR IKIWA HALITUMIKI BORA TU WAPE WATU WASIO NA UWEZO WA KUKODISHA MADUKA WAUZIE UROJO NA MANDAZI

Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho wakiongozwa na askari wa magereza katika viunga vya mahakama ya Mkoloni Mweusi Tanganyika ya Kisuta, jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu nchini Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kubambikiwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika atii ya ugaidi wakati watu wanadai nchi yao ya Zanzibar hawaataki tena Muungano feki, wamesema upande wa Jamhuri unachelewesha kesi hiyo kwa makusudi. Washitakiwa hao walidai hayo jana baada ya upande wa Jamhuri kudai, upelelezi wa kesi hiyo upo katika hatua ya mwisho, lakini wanashindwa kuendelea kutokana na rufaa waliyoikata katika Mahakama ya Rufani. Upande wa Jamhuri umekata rufaa hiyo kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanganyika kwa Makaburu Weusi ulioitaka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza hoja za washitakiwa na kuzitolea uamuzi.Kupitia wakili wao, Abdallah Mohamed washitakiwa hao walisema kuwa sababu wanazotoa upande wa Jamhuri, siyo za msingi kwa kuwa rufaa hiyo haihusiani na kukamilika kwa upelelezi huo. Alidai wanachofanya upande wa Jamhuri ni kupoteza muda wa mahakama na kuendelea kuwaumiza washitakiwa ambao hawana hatia, hivyo aliiomba mahakama izingatie sheria. “Kama wanaona washitakiwa hawana kesi ya kujibu muhimu wawaachie huru na endapo watabaini kuna mashitaka dhidi yao wawakamate tena,” alisema Wakili Mohamed. Kuhusu afya za washitakiwa, alisema washitakiwa bado wanaendelea kuumwa, na hawezi kusema wanachoumwa lakini Abdallah Said sehemu zake za siri zimevimba na hawalilaumu Jeshi la Magereza kwa kuwa linajitahidi kuwahudumia lakini hawana dawa za kutosha. Aliomba mahakama iruhusu ndugu zao wawatibu kwa kuwa hata dawa wanazoandikiwa wananunuliwa na ndugu zao. Hakimu Mkazi, Renatus Rutha aliahirisha kesi hiyo hadi Juni 8.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

SEREKALI YA KIFALME YA OMAN IMEIPATIA NCHI YA ZANZIBAR BILLIONI 12.3 SHILLINGI ZA KITANGANYIKA NA NYARAKA ZA MAGARI 10


Rais wa Maskani ya Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la 

Mapinduzi Shein akipokea Hundi ya Tanganyika Shilingi 

pesa za Mkoloni Mweusi Tanganyika Billioni 12.3 

kutoka Balozi wa Oman  Nchini Tanganyika  Mhe,Saoud Al 

Ruqaishi  ikiwa ni msaada  kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa  

kiwanda cha upikaji Chapa (kushoto  Balozi Mdogo  wa 

Oman 

aliyepo nchini Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi  hafla ya 

makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.


SERIKALI ya Kifalme ya Oman imeikabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hundi ya Tanganyika.Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya Kiwanda cha Upigaji chapa zikiwemo mashine za kuchapishia magazeti na vitabu. Wakati huo huo, Serikali ya Kifalme ya Oman imeikabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar nyaraka za gari 10 zilizotolewa msaada na nchi hiyo zikiwemo za viongozi wakuu. Balozi wa Oman katika Jamhuri ya nchi ya Tanganyika Mhe. Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi alimkabidhi Rais wa Maskani ya Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein hundi hiyo pamoja na nyaraka hizo za gari, makabidhiano yaliofanyika leo Ikulu Mjini Mnazi moja nchini Zanzibar.
Mara baada ya kupokea hundi kwa ajili ya vifaa vya kiwanda hicho cha Upigaji chapa pamoja na nyaraka za gari hizo, Rais wa Maskani ya Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein alitoa pongezi kwa Serikali ya Kifalme ya Oman chini ya uongozi wa Mfalme Sultan Qabous Bin Said Al Said kwa msaada wake huo kwa nchi ya Zanzibar. Shein alisema kuwa msaada huo utasaidia kwa kiasi kikubwa kuiwezesha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kukamilisha nia na malengo yake ya kuhakikisha inakuwa na kiwanda chake cha kisasa cha Upigaji Chapa ambacho kitachapisha magazeti na vitabu. Katika mazungumzo hayo, Balozi Seif Ali Idd alihudhuria, Shein alisema kuwa msaada huo unaonesha wazi mahusiano na mashirikiano mazuri na ya muda mrefu pamoja na mapenzi yaliopo kati ya Serikali ya Kifalme ya Oman na ndugu zao wa Zanzibar.((duuuh ndugu zao wa Oman sio tena Masultani walio wafanya watumwa....? hahaha kuishi kwingi kuona mengi kweli))
Alisema kuwa msaada huo ni muendelezo wa misaada kadhaa iliyotolewa na Serikali ya Kifalme ya Oman kwa nchi ya Zanzibar ikiwemo ujenzi wa Chuo cha Afya kilichopo Mbweni nje kidogo ya mji mkuu wa nchi ya Zanzibar pamoja na misaada mengineyo ambayo tayari nchi hiyo imeshaitoa. Aidha, Dk. Shein alimuhakikishia Balozi huyo kuwa misaada hiyo itatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa na kusisitiza kuwa nchi ya Zanzibar inathamini sana uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliopo kati yake na wa nchi ya Kifalme ya Oman. Dk. Shein, alisema kuwa kwa niaba ya wananchi pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ametoa shukurani kwa Serikali ya Kifalme ya Oman kwa misaada hiyo ukiwemo msaada huo wa ukubwa wa fedha. Pamoja na hayo, Shein, kwa mara nyengine tena alimtumia salamu kiongozi wa nchi hiyo na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kuwa na afya njema yeye pamoja na wananchi wa nchi hiyo ya Kifalme ya Oman.
Mapema Balozi wa Oman Katika Jamhuri ya nchi ya Tanganyika, Mhe. Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi ambaye alifuatana na Balozi Mdogo wa nchi ya Kifalme ya Oman anayefanyia kazi zake hapa nchini Zanzibar Mhe.Ali Abdulla Al Rashdi alieleza kuwa Oman itaendeleza uhusiano na ushirikiano wake kati yake na nchi ya Zanzibar. Balozi huyo wa nchi ya Kifalme ya Oman nchini Tanganyika alisema kuwa ni matumaini makubwa Serekali yake ya Kifalme ya Oman kuwa msaada huo wa fedha taslim kwa ajili ya ununuzi wa vifaa zikiwemo mashine kwa ajili ya Kiwanda cha Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali utasaidia kwa kiasi kikubwa katika utengenezaji wa magazeti na vitabu hapa nchini Zanzibar. Alisema kuwa kiwanda hicho kitawawezesha wananchi wa nchi ya Zanzibar kuweza kuwa na kiwanda maalum cha kuchapisha magazeti pamoja na vitabu.
Pamoja na hayo, Balozi huyo alieleza kuwa gari hizo kumi zikiwemo za viongozi nazo zitasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuendeleza shughuli za maendeleo hapa nchini. Balozi huyo vile vile, alieleza kuwa Mfalme wa nchi ya Kifalme ya Oman Sultan Qaboos Bin Said Al Said anathamini uhusiano na mashirikiano yaliopo kati ya Oman na Zanzibar na kuahidi kuwa hatua hizo zitaendelezwa kwa upande wa wananchi pamoja na Serikali za pande zote mbili. Upatikanaji wa vifaa hivyo kwa ajili ya Kiwanda hicho cha Upigaji chapa kutakiwezesha kiwanda hicho kuchapisha magazeti pamoja na vitabu mbali mbali hapa nchini Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Monday, May 25, 2015

VIDEO MASHEIKH-WAMEFANYA KAZI KUBWA KUIKOMBOWA NCHI YA ZANZIBAR JE WEWE NA MIMI TUMEFANYA NINI...?

TAFAUTI YA DINI NA SIASA NI NINI WAZANZIBARI
HAJA YA KUWA WAMOJA WAZANZIBARI
UBAYA WA KUYAONA MAOVU NA KUYANYAMAZIA WAZANZIBARI
FAIDA ZA MUUNGANO KUJAZA MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO
UBAYA WA DUBWANA HILI LA MUUNGANO KWA WZANZIBARI
HOFU YA WATANGANYIKA NCHI YA ZANZIBAR NJE YA MUUNGANO FEKI
HUYU NI KIONGOZI KWELI ANAE FURAHIA WATU KUFUNGWA NA KULAWITIWA..??
JE MZANZIBARI YOYOTE KUIPINGIA KURA CCM TUMUWEKE KATIKA KUNDI GANI
MBELE YA M.MUNGU HUKU MASHEIKH WAKIWA MAGEREZANI NA KUFANYIWA
VITENDO VYA KAUMU LUTI..???
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

VIDEO-MWIGULU NCHEMBA AMPAKA GAGA NA KAMASI MTANGANYIKA MWENZAKE KISHA SASA ATAKA KUGOMBEA URAISI WA NCHI YA TANGANYIKA KWA TICKETI YA CCM

MWIGULU NCHEMBA AMPAKA GAGA NA KAMASI MTANGANYIKA MWENZAKE
KWA KUCHUKIZWA NA T,SHIRT YENYE BENDERA YA NCHI YA TANGANYIKA
KISHA SASA ATAKUGOMBEA URAISI KWA TICKETI YA CCM KUWA
RAISI WA NCHI HIYO HIYO YA TANGANYIKA ALIYO IPAKA GAGA NA KAMASI

ALIPO KWENDA KUOMBEWA KANISANI ILI CCM IMCHANGUWE YEYE KUWA RAISI WA NCHI YA TANGANYIKA HAHAHAHAHAHAHAHAHA VICHEKESHO
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba wa nchi ya Tanganyika
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Nchini Tanganyika,Mwigulu Nchemba amejiuzulu wadhifa huo.
Mwigulu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha,ametangaza kujiuzulu nafasu hiyo  jana Jioni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya ya Taifa ya CCM, Huko Giningi Mjini Dodoma machinjio ya Wazanzibari.

Akithibiths tukio hilo,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Naoe Nnauye amesema,Mwigulu ameamua kujiuzulu nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa CCM-nchini Tanganyika kutokana na nia yake ya kutaka kuomba kuwania Urais wa nchi ya Tanganyika kwa tiketi ya CCM  katika Uchaguzi utakaofanyika Octoba Mwaka huu

"Mwigulu alishamwambia nia hiyo Mwenyekiti wa Chama  Rais wetu wa nchi yetu ya Tanganyika Jakaya Kikwete,nae Rais akamkubalia, na sasa  katika kikao ameomba rasmi kujiuzulu na Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete amemkubalia Mbele ya wajumbe wa NEC".amesema Nape

Nape amesema kufuatia uamuzi wa mwigulu  kujiuzulu, Mwenyekiti wa Chama Rais Jakaya Kikwete amemteua Msaidizi wake wa maswala ya siasa,Rajabu Ruhavi kuwa Mjumbe wa NEC na Wakati huohuo kamteua kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Kushika nafasi iliyoachwa na Mwigulu Nchemba

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

MSANGI SIO MKUU WA UPELELEZI BALI NI MKUU WA UKANDAMIZAJI WA WAZANZIBARI WASIDAI NCHI YAO YA ZANZIBAR


HUU NI USHAHIDI TOSHA KUWA MSANGI KUMEMSHINDA MKOANI SIMIYU KWAO KWA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA WAKAONA WAMLETE NCHINI ZANZIBAR AJE ATIMIZE KAZI YA BABU YAO NYERERE YA KUIFISIDI NCHI YA ZANZIBAR NA KUWATESA WAZANZIBARI NDANI YA NCHI YAO HAKUNA LA AJABU

Tuugeukie sasa upuuzi wa Naibu Mkurugenzi wa Upepelezi wa Makosa ya Jinai kutoka nchini Tanganyika aliyeletwa hapa nchini Zanzibar katika Jeshi la Polisi Zanzibar ili aje wawshughulikiye Wazanzibari wote wanao taka Zanzibar Huru yanye Mamlaka Kamili, Kamishna Msaidizi Msangi, ambaye siku moja baada ya Waziri Mkuu Pinda Mr Zanzibar sio Nchi kuyasema hayo bungeni, yeye aliwaita waandishi wa habari kwenye chumba cha mikutano Makao Makuu ya Polisi kuwatangazia wananchi kukamatwa kwa vijana wawili, Said Ali Abdullah mwenye umri wa miaka 26 mkaazi wa Kiwani, Pemba nchini Zanzibar, na Hussein Mageni Hussein mwene umri wa miaka 27 mkaazi wa Pangawe, Unguja nchini Zanzibar, kwa makosa ya kuwatukana Raisi wa maskani ya Kisonge  Shein na rafiki yake Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika aliepo hapa nchini Zanzibar, Balozi Seif Iddi, wakitumia mitandao ya simu.
MSANGI LABDA HUKUJUWA YALIO TOKE MIMI NAKUSAIDI KUKUPATIA PIC ZA WATU WALIO PINGWA MAWE WAKATI WAKIRUDI MKUTANONI WA CUF JANJAWEED WENU WAKAWAPIGA MAWE SASA UPELELEZI WAKO UMEISHIA WAPI
Upuuzi wa Kamishna Msaidizi Msangi upo kwenye ngazi nyingi, na hapa nitazitaja tatu: kwanza, kwenye kutupambaza sote, akitaka tuamini kuwa kilichofanywa na jeshi lake kilikuwa kitu sahihi kwa kuwa tu kinachoshukiwa kufanywa na vijana hao hakikuwa si sahihi. Kwa mfano, kijana Said ambaye anatajwa kwengineko kuwa ni kiongozi wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi (CUF) wilaya ya Mkoani, Pemba, amekamatwa kwa kosa la kumtukana Balozi Seif kwa kumtaka asiende kisiwani Pemba kufanya mikutano ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Lakini kwenye vidio ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ambayo ndiyo ushahidi pekee wa Kamishna Msaidizi Msangi, Said anasema pia kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Balozi Seif, asijaribu kuwazuia wanachama wa CUF kufanya mikutano kwenye jimbo la Kitope lililo Kaskazini B kisiwani Unguja, kwa kuwa wao CUF hawamzuii yeye kufanya mikutano Pemba, ambako CCM haina jimbo hata moja. Kwa hivyo, Msangi anatupumbaza kwa kutuambia nusu ukweli na nusu uongo. Hasemi kuwa kauli hiyo ni majibizano ya kisiasa kati ya vyama vya siasa.MSANGI UPELELEZI WAKO UMEISHIA WAPI KATIKA ILE KESI YA WAFUWASI WA CUF KUPINGWA MAWE NA JANJAWEED WA CCM CHAMA CHANU CHA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA....???
Pili, upuuzi unakuja pale jeshi la polisi linapotangaza kuwachukulia hatua vijana hawa wa CUF, lakini likiwaacha vijana na viongozi wa CCM ambao wanaowatukana viongozi wakuu wa CUF kwa matusi makubwa kuliko hayo yaliyoripotiwa kusemwa na Said. Hapa upuuzi unamaanisha kutenda jambo lisilo maana, kwa sababu hatua hii inayochukuliwa na taasisi yenye jukumu la kusimamia usalama wa raia na mali zao imekosa maana yoyote ya kiusalama kwa kuchukuliwa kwake inachukuliwa kibaguzi. Inakuwaje kumtukana Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa mfano, kuwe si jambo la kuchukuliwa hatua za kiusalama na polisi, lakini lichukuliwe hatua inapotokezea aliyetukanwa na mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Balozi Iddi....???MOJA KATIKA WAFUWASI WA CUF WALIO PINGWA MAWE NA JANJAWEED WA CCM WAKITOKEA MKUTANONI MAKUNDUCHI NA KUFARIKI MSANGI UPELELEZI WAKO UMEISHIA WAPI....???
ALIPOULIZWA KUHUSIANA NA HILO, MSANGI ALISEMA POLISI HAWAJAWAHI KUWAKAMATA WALE WANAOWATUKANA VIONGOZI WA CUF KWA KUWA WENYEWE VIONGOZI WA CUF HAWAJAWAHI KUWASHTAKIA MAKOSA HAYO, AKITAKA TUAMINI KUWA SHEIN NA BALOZI SEIF WALIKWENDA KUFUNGUA JALADA LA MALALAMIKO MAKO MAKUU YA POLISI, MADEMA. HUU NI UPUUZI ULIOPITILIZA.
Tatu ni upuuzi kwa kuwa umesemwa kipuuzi. Kwa mfano, kwenye maelezo yake Kamishna Msaidizi Msangi anawataja vijana hao kuwa ni wahalifu na anaelezea kushangazwa kwake kuwa kuna mawakili walikwenda kutaka kusimamia mahojiano yao, akiwemo mwakilishi wa jimbo la Kiwani kwa tiketi ya CUF, jimbo ambalo ndilo analotokea kijana Said. Ikiwa maadili ya kipolisi na sheria za mwenendo wa mashitaka anazijuwa na si mpuuzi, basi Kamishna Msaidizi huyu anajuwa tafauti baina ya neno “mtuhumiwa” na “mhalifu” kama anavyojuwa pia haki ya kila mtuhumiwa kuwa na wakili. Mtuhumiwa anabakia kuwa na haki zote za utuhumiwa na si mhalifu hadi hapo mahakama iamuwe hivyo.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Sunday, May 24, 2015

ZEC NA TAASISI YA VITAMBULISHO VYA MZANZIBARI NYOTE VIJIBWA VYA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAYA TWAMBIYENI HILI KALANDIKA LILILO JAA WATU NI NANI HAWA..???


Siku ya jumapili tarehe 10 may 2015, Makamo wa kwanza wa Rais nchi ya Zanzibar ambaye pia ni katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad akiongozana na wajumbe wa CUF nchi ya Zanzibar walizungumza na waandishi wa habari jijini Dar-es-salam nchini Tanganyika kuzungumzia kadhia inayoendelea nchini Zanzibar
Hivi siku za karibuni tumeshuhudia mamluki ganga njaa wasaka tonge kutoka nchi ya Tanganyika pamoja na sehemu mbali mbali za unguja nchini Zanzibar wakipandishwa katika magari ya jeshi kwenda kupewa vitambulisho  vya Urai wa Nchi ya Zanzibar ili waweze kupatiwa vitambulisho vya kupiga kura katika uchaguzi wa october 2015,waweze kuipigia kura CCM Chama Cha Mkoloni Mweusi Tanganyika.
Siku ya pili baada ya mazungumzo hayo ya CUF na waandishi wa habari tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC vibaraka wa Mkoloni Mweusi Tanganyika  pamoja na taasisi ya vitambulisho vya Urai wa Nchi ya  Zanzibar walikanusha vikali na kusema madai hayo ya CUF ni ya uwongo, hili ni moja la karandinga likiwa limesheni mamluki likielekea kambi ya JWTZ Chukwani ili kuandikishawa, Ziko wapi ahadi za Shein alizo zitowa....???

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-MSANGI WEWE UMEPATA UJUMBE WA SMS MIMI NA KUPA WA VIDEO JE NA HAWA UTAWASHIKA NA KUWASHTAKI AU NI UKIRITIBWA WA UCCM UNAO UFANYA KWA AJILI WAZANZIBARI WAMEKIKATA CHAMA CHENU CHA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA.


NAIBU KAMISHNA WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI KUTOKA KATIKA JESHI LA MAKABURU WEUSI NCHINI TANGANYIKA ALIYE PEWA JINA LA SALUM ILI AONEKANE NI MZANZIBARI JAMA MSANGI ATII NA YEYE AKIELEZEA KWA NINI ALIWAKAMATA WATU WAWILI ATII WALIO THUMIWA KUTOA MATUSI NA KUMKEJELI RAISI WA MASKANI YA KISONGE SHEIN NA MTANGANYIKA MWENZAKE AMBAYE NI BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA ALIYEPO NCHINI ZANZIBAR BALOZI SEIF.

TUNAMUULIZA SWALI TU HUYU MTANGANYIKA ANAE JIDAI JINA LAKE NI SALUM IKIWA IMEKUSHINDA SIMIYU ULIPOTOKA HUKO KWENU NCHINI TANGANYIKA AKALETWA NCHINI ZANZIBAR NA KUPEWA JINA LA SALUM KWELI UTAIWEZA NCHI YA ZANZIBAR...?? BABU YAKO MZEE NYERERE KAFA KAIWACHA ZANZIBAR NA ALITAKA AINGOWE AKAITUPE KATIKA BAHARI YA HINDI UTAIWEZA WEWE HATA JINA HUNA MPAKA UMEKUJA ZANZIBAR TUKAKUPA SALUM, KWA TARIFA YAKO WALIKUWEPO WENGI SANA HAPA KAMA WEWE WAKO WAPI LEO KINA HALID IDDI, KHAMIS NA WENGINE WENGI TU WOTE WAKO WAPI....?? RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF ANATUKANWA KILA SIKU MBONA HUWA KAMATI WANAO MTUKANA HIZI VIDEO ZAO KAMA HUJAWAHI KUWAKAMATA NENDA UKAWAKAMATE KISHA USIMAME KATIKA KAMERA NA WANDISHA WAHABARI TUANDIKE KUWA UMEWAKAMATA WANAO MTUKANA RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF NA USHAHIDI HUU WA VIDEO UWAONYESHE KAMA NINAVYO KUONYESHA WEWE.
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
WEWE MSANGI SI UNAJIDAI KUMKINGIA KIFU MTANGANYIKA MWENZAKO
HUYU BALOZI MDOGO WA NCHI YAKO YA TANGANYIKA KUWA KATUKANWA
VIDEO HII HAPA MSIKILIZE YEYE MWENYEWE ANAVYO TUKANA
MSANGI MSIKILIZE VIZURI MTANGANYIKA MWENZAKO MWISHO ANAVYO AIBIKA
ANAWALAZIMISHA WATU WANYOSHE MIKONO ALIVYO ONA HAWANYOSHE ANAWAMBIYA ASIYE NYOSHA MCHAWI HAHAHA AHA MSANGI.
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
WEWE MSANGI SIKILIZA MATUSI
HATUTAKI MUUNGANO
MSANGI HAMUWEZE KUNGANGANIA WALA SIO NCHI YENU JAPO NI SHIDA TUPENI WENYEWE MPE SHUKRAN BABU YAKO KWA KUTUMIZA NYERERE SISI BADO MAMLUKI TUNA DAI NCHI YETU UNATUSIKIA MSANGI MUUNGANO MBAYA TANGU AFE MZEE KARUME HATUNA HATA MAMLAKA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Friday, May 22, 2015

VIDEO-TUNDU LISSU A.K.A. RONALD ASEMA RAISI KIKWETE NA MAWAZIRI WAKE WAMEKITHIRA NA AHADI HEWA NA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WAO KUFANYIWA UKATILI.


MSEMAJI wa Kambi Rasmi ya Upinzani na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ameichachafya serikali akidai imekithiri kwa ahadi hewa ambazo zimekuwa zikitolewa na Rais Jakaya Kikwete na mawaziri kuhusiana na Kura ya Maoni ya Katiba Pendekezwa. Lissu alitoa kauli hiyo jana katika Mkutano wa 20 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma wakati akiwasilisha mapendekezo ya kambi pinzani kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria.

Lissu alisema Rais Kikwete wakati akikabidhiwa katiba pendekezwa aliwaahidi Tanganyika ((Watanzania)) kuwa katiba hiyo ingepigiwa kura ya maoni Aprili 30, mwaka huu lakini hadi sasa ahadi hiyo haijatekelezwa. Alisema leo ni wiki ya 3 tangu Rais Kikwete awaahidi Watanganyika ((Watanzania)) juu ya upigaji wa kura ya maoni lakini mpaka sasa haijulikani siku wala tarehe ya kura ya maoni kutokana na ubabaishaji uliopo ndani ya Serikali.

Lissu alisema ni dhahiri hakuna uhakika wowote kufanyika kura ya maoni juu ya katiba mpya kutokana na sheria iliyopo ya kura ya maoni ya mwaka 2015. Alisema kwa sasa kuna uhakika wa Rais Kikwete kuondoka madarakani bila ya katiba mpya aliyowaahidi Watanganyika ((Watanzania)) kupatikana katika kipindi cha takribani miaka mitano iliyopita.

Mbunge huyo machachari alisisitiza; "Ndani ya utawala wa Rais Kikwete unaonesha dhahiri kuwa ameshindwa kukamilisha mchakato huo pamoja na chama chake CCM. "Hata kama tume ya uchaguzi itaweza kukamilisha jukumu lake la kuandikisha wapiga kura nchi nzima bado hakuna uhakika wa kufanyika kwa kura ya maoni kutokana na matakwa ya sheria ya kura ya maoni 2015."
Alisema Sheria hiyo iliweka utaratibu mgumu wa uendeshaji wa kura ya maoni ambapo kila hatua inayotakiwa kuchukuliwa haiwezekani kuahirishwa kwa kuongezewa muda. Akizungumzia haki za binadamu, Lissu alisema kwa kiasi kikubwa ukiukwaji wa haki za binadamu umeongezeka kwa Watanganyika na Wazanzibari ((Watanzania.)) Alisema mauaji na mashambulizi dhidi ya viongozi wa kidini na waumini wao kufanyiwa ukatili sehemu zao za ibada hakuna mtu yeyote aliyeadhibiwa katika kesi hizo.
"Serikali haijatoa taarifa yoyote juu ya wahusika na wauaji wa mashambulio mbalimbali yaliyofanyika nchini, yakiwemo ya Daud Mwangosi pamoja na shambulio la Dkt.Ulimboka hadi sasa hayajajulikana hatma yake,"alisema Lissu.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Kigoma, Felix Mkosamali alisema ni aibu kwa nchi katika kura ya maoni kwani sheria yake bado haitekelezeki na haiwezekani kwa mazingira ya sasa yalivyo inashangaza waziri wa sheria kutangaza kuwepo kwa kura hiyo. Mkosamali alisema hii ni aibu kwa nchi kuendeshwa bila ya kuwa na uhakika nayo wala kuwa na ratiba au sheria inayoeleweka kwani hata katiba hiyo ikilazimika kupigiwa kura inakuwa haina umuhimu kwa wananchi wake.

"Kwa hili serikali imeshafeli tangu mwanzo mchakato huu wa katiba ni mchakato ambao ukiutakari unashangaza hasa kwa chama cha CCM kushauriana na vyama vingine kwani katiba za wenzetu ni nzuri na zenye mashiko kwa jamii yao,"alisema Mkosamali.

Akizungumzia Sheria iliyopo sasa nchini, Mkosamali alisema  Sheria zinazotekelezwa nchini ni asilimia 30 mambo mengi yanaendeshwa kiholela bila kufuata sheria. Alisema hali ya watu kutumia sheria mikononi imeweza kuongezeka kutokana na jamii kutoamini serikali ambapo mara nyingi wanapowafikisha watuhumiwa polisi wanaachiwa.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO- ATII JAJI MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR OMAR OTHMAN MAKUNGU-SHEREHE SHEREHE SHEREHE!!!! YA UZINDUZI WA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU JE WALE MASHEIKH WA UAMSHO WALIO KATIKA JELA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA SIO BINADAMU...???


WEWE JAJI MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR AU JAJI WA KITOGOJI CHA ZANZIBAR KATIKA NCHI YA TANGANYIKA...?? MAANA KAMA WEWE NI JAJI MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR ILIKUWAJE HAWA RAI WA NCHI YAKO WENDE WAKAHUKUMIWE NCHI NYENGINE YA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA..? AU VYETI VYOKO NI FEKI HUNA UWEZO WAKUWA JAJI MKUU ILA UMEWEKWA HAPO UPATE KUFYONZA FUPA LAKO.

Atii Jaji mkuu wa nchi ya Zanzibar, Omar Othman Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanganyika kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria,Mjini  Migombani nchini  Zanzibar jana.
Mgeni Rasmi Atii Jaji mkuu wa nchi ya zanzibar, Omar Othman Makungu.
VIDEO-MSIKILIZE MR ZANZIBAR SIO NCHI PINDA ANAVYO JITIA UPUMBUWANI
KUWA HAJUWI LOLOTE KUHUSU MASHEIKH WA UAMSHO WALIO FUNGWA
KATIKA JELA YA NCHI YAO WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA
ACHENI UNAFIKI WENU NA KUJIFANYA KAMA MNAFUATA SHERIA WAKATI NYINYI NDIO WA KWANZA KUVUNJA SHERIA NA KUUWA WATU KWA AJILI TU YA KUKA MADARAKANI N KUJAZA MATUMBO YENU MAKELBU WAKUBWA ATII HAKI ZA BINADAMU SASA WALE MASHEIKH WA UAMSHO MULIO WASAFIRISHA KWA BWANA WENU WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA WALE SIO BINADAMU....???

SHEIKH (MSELEM) KAFANYIWA UDHALILISHAJI MKUBWA WA KUACHWA UCHI WA MNYAMA HUKU AMENINGINIZWA KWA PINGU. HUYU NI SHEIKH ANAYESOMA KITABU KITAKATIFU CHA MWENYEZI MUNGU,AKISIKIKA AKISOMA QURAN TUKUFU KATIKA REDIO NYINGI AFRIKA MASHARIKI, LAKINI ANAFANYIWA USHENZI KAMA HUO. 
 
Atii Jaji mkuu wa nchi ya Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanganyika kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Mjini Migombani nchi  Zanzibar jana pumbavu kabisa haki za binadamu gani jaji mzima wa nchi unafunguwa vitabu vya Mkoloni Mweusi Tanganyika ama kweli nyinyi mumewezwa.

TUNAIYOMBA MAHAKAMA KUJA KULE GEREZANI MJIONE HALI HALISI ILI HATUWA STAHIKI ZIWEZE KUCHUKULIWA, VINGENEVYO SUBIRINI KUPOKEA MAITI NA MUINGIE KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR ALISEMA SHEIKH FARID MAHAKANI HAPO BILA YA KUFAFANUA ZAIDI. 

TUNAIYOMBA MAHAKAMA KUJA KULE GEREZANI MJIONE HALI HALISI ILI HATUWA STAHIKI ZIWEZE KUCHUKULIWA, VINGENEVYO SUBIRINI KUPOKEA MAITI NA MUINGIE KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR ALISEMA SHEIKH FARID MAHAKANI HAPO BILA YA KUFAFANUA ZAIDI. 

HIKI NI KILIO CHAO CHA MUDA MREFU KUWA WANAHITAJI KUFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA ZAO KWA UJUMLA KUTOKANA NA MADHILA WALIYOYAPATA LAKINI HAKUNA ANAYEJALI, KWA SASA TUNAHITAJI KIBALI ((RUKSA)) YA UONGOZI WA MAGEREZA ILI TUMPATIE MATIBABU. ALISEMA UST. MBARUKU.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-PINDA MR ZANZIBAR SIO NCHI APIGWA NA SWALI LA MASHEIKH WA UAMSHO WALIO KATIKA JELA YA NCHI YAKE YA TANGANYIKA

MSIKILIZE MR ZANZIBAR SIO NCHI PINDA ANAVYO JITIA UPUMBUWANI
KUWA HAJUWI LOLOTE KUHUSU MASHEIKH WA UAMSHO WALIO FUNGWA
KATIKA JELA YA NCHI YAO WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Thursday, May 21, 2015

DIKTETA NKURUNZIZA WANANCHI WA NCHI YAKO YA BURUNDI WASHAKUPA TALAKA HATA UKIJITIA PODA HUPENDEZI TENA


DIKTETA NKURUNZIZA BADO HAJAKUBALI KUSIKILIZA WANANCHI WAKE

MOJA WA MAJENERALI NCHINI BURUNDI AKIFIKISHWA MAHAKAMANI JE DIKTETA NKURUNZIZA ATAFIKISHWA LINI MAHAKAMANI KWA KUVUNJA KATIBA NA KUTAKA KUBAKI MADARAKANI KWA MUHULA WA TATU AMBAYO NI KINYUME NA KATIBA YA NCHI YA BURUNDI NA KUSABABISHA KULIWA KWA WANDAMANAJI 20 WASI NA HATIA.

BAADHI YA WANA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI WAKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA MAPINDUZI KUFELI

WAKIMBIZI KUTOKA NCHI YA BURUNDI WAKIWA NCHINI TANGANYIKA

Bujumbura, Nchini Burundi. Maofisa 17 wa Jeshi la Burundi wametiwa mbaroni wakiwamo majenerali watano na kufikishwa mahakamani kwa atii kwa kosa la kuipindua Serikali ya Dikteta Pierre Nkurunziza. Wanajeshi watatu wametajwa kuwa vinara wa kupanga njama za kuipindua Serikali ya Burundi ya Dikteta Nkurunziza wakiwamo maofisa wawili wa ngazi za juu wa polisi. Msemaji wa Ikulu wa nchi ya Burundi,Muhafidhina wa Dikteta Nkurunziza Gervais Abayeho alisema jana kwamba washtakiwa wengine wanne ni maofisa wenye vyeo vya chini na wanane ni wanajeshi wa kawaida. Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kukamatwa kwa Meja Jenerali Godefroid Niyombare ambaye aliongoza mapinduzi hayo.
Askari hao wanatuhumiwa atii kwa kufanya jaribio la kumpindua Dikteta Nkurunziza wakipinga  uamuzi wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu ambayo ni haki yao maana katiba imesema hivyo mihula miwili lakini Dikteta Nkurunziza utamu wa madaraka umemkolea anataka kuongeza wa Tatu ni kuvunja katiba ya nchi ya Burundi na makubaliano ya amani yaliyo fanyika nchini Tanganyika jijini Arusha. Abayeho alisema wakati maandamano yakiendelea Bujumbura kupinga uamuzi wa Chama cha CNDD-FDD kumteua Dikteta Nkurunziza kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine,  Meja Jenerali Niyombare alitangaza kutomtambua Dikteta Nkurunziza kama rais wa nchi hiyo ya Burundi. Mawakili wanaowatetea watuhumiwa hao walisema kwamba baada ya wateja wao kukamatwa waliteswa na kuumizwa.
 “Wamepigwa na ukiwatazama wamechoka na hawana mashati wala viatu,” alisema mmoja wa mawakili wanaowatetea watuhumiwa hao kutoka Kampuni ya Mawakili ya Bar, Miburo Anatole. Anatole alisema anamwakilisha Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye ambaye alikuwa waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo na maofisa wawili wa polisi. Wakili mwingine, Cyriaque Nibitegeka alisema mteja wake ambaye ni ofisa wa jeshi la nchi hiyo alilazimishwa kwa mtutu wa bunduki kukiri kwamba alihusika kuipindua nchi hiyo. Alisema mteja huyo amegoma kula tangu walipokamatwa wiki iliyopita. Taarifa zilieleza kwamba endapo watuhumiwa hao watapatikana na hatia watahukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani swali je Dikteta Nkurunziza akipatikana na hatia ya kuvunja katiba na kutaka kuwa raisi kwa muhula wa tatu na jeshi lake la polisi kuuwa rai wasio na hatia kwa jili tu ya kuandamana je yeye Nkurunziza atafungwa kifungo cha miaka mingapi....?
Ijumaa iliyopita, Dikteta Nkurunziza alirejea mjini Bujumbura akitokea nchini Tanganyika, huku maandamano ya kumpinga yakiendelea kama kawaida. Licha ya Serikali yake kuzuia kufanyika kwa maandamano, waandamanaji vikiwamo vyama vya upinzani na wananchi wameapa kuendelea hadi Dikteta Nkurunziza atakapotangaza kuacha mpango wake wa kugombea tena urais. “Tutaendelea kufanya maandamano kwa kuwa malengo yetu ni kumtaka Nkurunziza aache kugombea urais muhula wa tatu. Tunaona wanajaribu kuzuia maandamano yetu, lakini sisi hatutasitisha maandamano. Tutaendelea kuipigania katiba ili iheshimike,” alisema Jean Paul Ndayiragije.
Uchaguzi mkuu nchini humo unatarajiwa kufanyika Juni 26, mwaka huu.
Jaribio la kumpindua Dikteta Nkurunziza lilitekelezwa na Meja Jenerali Niyombare na maofisa wenzake wa jeshi wakati Nkurunziza akiwa nchini Tanganyika kuhudhuria mkutano wa dharura kuhusu mgogoro unaendelea nchini humo, lakini mapinduzi hayo yalizimwa na Maofisa Wahafidhina wa jeshi wanaomtii Dikteta Nkurunziza ili aendelea kubaki madarakani na wao waendele kuula bure na kuwawacha wananchi wakiwa katika hali mbaya ya maisha.
Wakimbizi wa Burundi walio kimbia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi ya Tanganyika, Isaac Nantanga alisema Serikali imetoa ushirikiano mzuri katika shughuli ya  kuwapokea wakimbizi wanaotoka nchi ya Burundi. Zaidi ya watu 105,000 wameikimbia Burundi, 70,000 wameingia nchini Tanganyika na 26, 300 wamekimbilia nchini Rwanda tangu kuanza kwa vurugu nchini Burundi. Wakimbizi wengi wanaishi katika Kambi ya Mahama. “Taarifa zinaeleza kwamba watu 10,000 wako mpakani mwa nchi ya Tanganyika na Burundi wakisubri kuingia katika kambi ya wakimbizi mkoani Kigoma,” lilisema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR).
Dikteta Nkurunziza Faida Gani Umeipata Kwa Kulazimisha Kuka Madarakani...??
Kwa mara ya kwanza, Dikteta Nkurunziza alionekana hadharani jana, huku akiwa amevaa kaunda suti ya bluu. Alionekana akijikaza kisabuni na kujitia kutabasamu, huku akiwasalimia waandishi wa habari na kuzungumza masuala ya ugaidi..!!!!!!! bila kugusia jaribio la kuipindua serikali yake. Dikteta Nkurunziza alizungumzia tishio la ugaidi ambalo limetolewa na kundi la   Al-Qaeda ambalo lina uhusiano na wanamgambo wa Al- Shabaab.((huyu jamaa anachanganyikiwa nini...?)) “Tumechukua tahadhari dhidi kundi la Al-Shabaab, tishio hili tumelichukua kwa umakini mkubwa kwa ajili ya usalama wa raia wetu,” alisema Dikteta Nkurunziza.
Burundi na nchi nyingine za Afrika zimepeleka majeshi ya kulinda amani nchini Somalia.  Katika tukio jingine, Raia wa Burundi wanaoishi Uingereza wamemuomba Waziri Mkuu wa nchi hiyo, David Cameron kusimamisha misaada ya kifedha kutokana na msimamo wa Dikteta Nkurunziza.  Raia hao walisema  uamuzi wa Dikteta Nkurunziza ni kinyume cha katiba ya nchi hiyo ya Burundi.
Watu hao waliandamana juzi jijini London wakipinga Dikteta Nkurunziza kukiuka katiba na watu 22 waliouawa kwenye maadamano mjini Bujumbura nchini Burundi. Waandamanaji hao walikuwa wamebeba bendera ya nchi hiyo, huku wakitaka Serikali kulinda amani na kumtaka Dikteta Nkurunziza aache kugombea urais muhula wa tatu. Kwa mujibu wa Muungano wa Ulaya (EU), Burundi imekuwa ikipewa msaada wa Dola 6 milioni mpaka 9 za Marekani kwa ajili ya kusaidia shughuli za uchaguzi mkuu kila unapowadia.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.