Tuesday, May 12, 2015

HAKUNA ADUWI MKUBWA KAMA MNAFIKI NYIE VIONGOZI MCHWARA MTAMUELEZA NINI M.MUNGU MILIKI WA MBINGU NA ARDHI KWA THULMA MNAZO WAFANYIA HAWA...??

farid

MAALIM SEIF,KIKWETE,SHEIN,BILALI,BALOZI.... MNA THIMA KUBWA SANA SIKU YA KIYAMA MIMI NAWAMBIYA KABISA HAPA HAPA DUNIANI SIWAFICHI MNAJITIA ALLAH AKBAR WAKATI MASHEIKH WAKO JELA NA NYINYI NI VIONGOZI WA NCHI KAMA NILIVYO MUAMBIA KAMISHNA NA NYINYI NAWAMBIYA HIVYO HIVYO NYERERE YUKO WAPI..? MZEE KARUME YUKO WAPI..? HITLER YUKO WAPI..? FIRAUNI YUKO WAPI..? ITAKUWA NYINYI MNAHADAIKA NA PUMZI TATU MSIZO JUU MWISHO WAKE LINI MJIANDAE KABISA LA KUMJIBU M.MUNGU SIKU YA KIYAMA NA MJIANDAE MKINGIA MAKABURINI MWENU MTAJIBU NINI JUU YA THULMA MUNAZO WAFANYIA WATU
 

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment:

  1. Huo upuuzi wenu pelekeni Afgstn na Somalia. Kwa sababu tushaona haya majinga freedom maana yake ni kuvisha wanawake baibui na kukata watu vichwa. Shetani wakubwa

    ReplyDelete