Saturday, May 9, 2015

JIONE POLISI WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MAKABURU WEUSI WALIVYO WOGA WA MAJI ILA MAHODARI WA KUUWA RAI WASIO NA HATIA


MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA UCHANGUZI MWAKA HUU WANANCHI MNAJUWA MFANYE NINI KULINDOWA HILI JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

IKO WAPI FAIDA YA MAKABURU HAWA WEUSI TANGANYIKA ATI POLISI YAGUJUUU

POLISI WA MAKABURI WEUSI TANGANYIKA WANAOGOPA MAJI ILA HAWAOGOPI KUUWA RAI WASIO NA HATIA MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment