Monday, May 4, 2015

MAENDELEO YA CCM KATIKA KIWANJA CHA NDEGE NCHINI ZANZIBAR NDIO HAYA MIAKA 50 DUUH!!!


HUU NDIO UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA NCHI YA ZANZIBAR SASA HIBU TULIZANE WAGENI WAKITUWA NA NDEGE NA KURUHUSIWA KUTOKA NJE HII NDIO HALI YA MWANZO WANAYO IONA WAVUWE VIATU MABEGI BEGANI AU KICHWANI
KAMA SI AIBU NA FETHEA NI NINI......?? MIAKA 50 NA USHAIYA CCM HAPA NDIPO ILIPO TUFIKISHA

CCM LINI MUTATENGENEZA MIUNDO MBINU YA MAJI YA MVUA YASIGEUZE KIWANJA CHA NDEGE KUWA SWIMMING POOL AU CHAKUZI OOOOOH NIMEKUMBUKA NYINYI CCM HAMUJUWI KUJENGA NCHI MNAJUWA,KUBOMOWA,KUUZA, KUNYANGANYA, KUUWA, UBAGUZI,CHUKI, KUFITINISHA WATU NA MATUSI KAMA ABDALLAH KUNDUMA AU SABRI BACHANI.

TUMEPINDUWA ILI AIR PORT ZETU ZIWA SWIMMING POOL NA MACHAKUZI HUNA HAJA YA KWENDA BEACH KUNA CHAKUZI NA SWIMMING POOL NJE YA AIRPORT HATA DUBAI NA SINGAPORI NA MALYASIA HAWANA CHEZEA CCM WEEEEE
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment