Wednesday, May 13, 2015

VIDEO-INASEMEKANA KUWA DIKTETA PIERRE NKURUNZIZA AMEPINDULIWA

HUU NI USIBITISHO KUWA SIKU ZOTE ASKARI NI VIJIBWA VYA RAISI NA SIO WALINZI WA RAI NA MALI ZAO 
HUU NI USIBITISHO KUWA SIKU ZOTE ASKARI NI VIJIBWA VYA RAISI NA SIO WALINZI WA RAI NA MALI ZAO 
CHEZEA WARUNDI WEEE WANAWAPA KIBANO POLISI ILE MBAYA

06ca8bd602088aa8065de12f7b7062f1_XL
HUYU NDIO MEJA JENERALI GODEFROID NIYOMBARE ANASEMEKANA AMEMPINDUWA DIKTETA PIERRE NKURUNZIZA BAADA KUONA WANANCHI HAMTAKI TENA

Wednesday, May 13, 2015
Mkuu wa zamani wa shirika la kijasusi la nchi ya Burundi ametangaza rasmi kuwa Dikteta Pierre Nkurunziza amepinduliwa baada ya machafuko ya zaidi ya wiki mbili yaliyozuka baada ya Nkurunziza kuamua kugombea urais kwa muhula wa tatu mfululizo na kukiuka katiba ya nchi hiyo ya Burundi. Meja Jenerali Godefroid Niyombare ametangaza leo kupitia redio ya taifa jijini Bujumbura kwamba, kuanzia sasa Rais Pierre Nkurunziza si rais tena wa Burundi.
Amesema, serikali imevunjwa, makatibu wa kudumu wa mawaziri wataendesha masuala ya nchi hiyo hadi tangazo jingine litakapotolewa. Tangazo la Meja Jenerali Niyombare limekuja baada ya jeshi la Burundi kuzizingira ofisi za redio ya taifa katika jiji la Bujumbura. Mapema leo polisi wa Burundi wamefyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji waliojaribu kulivamia bunge.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment