Thursday, May 14, 2015

ZEC NA POLISI WAKISHIRIKIANA KUHARIBU KURA ZA CUF ILI CCM ISHINDE KATIKA UCHAGUZI


PART 1
PART 2
HIYO OKTOB TUKIJALIWA TUKISHA PIGA KURA HAKUNA KULALA WALA KULA MPAKA KIELEWEKE TUACHIWEEE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment