Sunday, May 24, 2015

ZEC NA TAASISI YA VITAMBULISHO VYA MZANZIBARI NYOTE VIJIBWA VYA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAYA TWAMBIYENI HILI KALANDIKA LILILO JAA WATU NI NANI HAWA..???


Siku ya jumapili tarehe 10 may 2015, Makamo wa kwanza wa Rais nchi ya Zanzibar ambaye pia ni katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad akiongozana na wajumbe wa CUF nchi ya Zanzibar walizungumza na waandishi wa habari jijini Dar-es-salam nchini Tanganyika kuzungumzia kadhia inayoendelea nchini Zanzibar
Hivi siku za karibuni tumeshuhudia mamluki ganga njaa wasaka tonge kutoka nchi ya Tanganyika pamoja na sehemu mbali mbali za unguja nchini Zanzibar wakipandishwa katika magari ya jeshi kwenda kupewa vitambulisho  vya Urai wa Nchi ya Zanzibar ili waweze kupatiwa vitambulisho vya kupiga kura katika uchaguzi wa october 2015,waweze kuipigia kura CCM Chama Cha Mkoloni Mweusi Tanganyika.
Siku ya pili baada ya mazungumzo hayo ya CUF na waandishi wa habari tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC vibaraka wa Mkoloni Mweusi Tanganyika  pamoja na taasisi ya vitambulisho vya Urai wa Nchi ya  Zanzibar walikanusha vikali na kusema madai hayo ya CUF ni ya uwongo, hili ni moja la karandinga likiwa limesheni mamluki likielekea kambi ya JWTZ Chukwani ili kuandikishawa, Ziko wapi ahadi za Shein alizo zitowa....???

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment