Tuesday, June 23, 2015

MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD AMESIMAMISHA MSAFARA WAKE KUSHUHUDIA AJALI YA VESPA NA GARI NA KUSABABISHA MPANDA VESPA KUFARIKI PAPO HAPO MTONI


Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad amelazimika kusimamisha msafara wake kushuhudia ajali iliyotokea eneo la Mtoni kuelekea Bububu. Katika ajali hiyo mpanda vespa amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari, huku msafara wa Maalim Seif ukikaribia eneo hilo na kuamuwa kushuka na kuangali hali ilivyo ya ajali hiyo na taratibu nyengine za kuuwondowa mwili wa marehemu barabarani.

baadhi ya wasamariya wema wakiufinika mweli wa marehemu huyo aliye pata ajali na vespa yake kugongwa na gari na kufa papo hapo inna lilahi waina ilahi rajiuni.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment