Monday, June 8, 2015

MAMIA NA MAELFU YA WAZANZIBARI YAFURIKA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE KUPOKEA MONDULI EDWARD LOWASSA ALIPO WASILI NCHINI ZANZIBAR DAAH!!! ((hahahahahaha))


MONDULI EDWARD LOWASSA AKIPOKEWA NA MWENYEKITI WA CCM, MKOA WA MJINI MAGHARIB UNGUJA BORAFIA SILIMA JUMA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE NCHINI ZANZIBAR.


MONDULI EDWARD LOWASSA NA  BORAFIA SILIMA JUMA WAKIWA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE SEHEMU YA KUPUMZIKA NCHINI ZANZIBAR

MONDULI EDWARD LOWASSA AKITOKA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE NA KUWALAKI WAZANZIBARI HAO WALIOFIKA KIWANJANI HAPO KUMPOKEA NCHINI ZANZIBAR KWENYE PIC HII UTAONA KABISA ANAVYO SALIMIANA NA WAZANZIBARI HAWA BILA SHIDA NA KUWAPA MKONO

WAKEREKETWA WA CCM WALIOFURIKA UWANJA WA NDEGE KUPOKEA MONDULI EDWARD LOWASSA WAKIJARIBU KUMPA MKONO LAKINI KATIKA PIC HII INAONYESHA KAMA ANAWAOGOPA KUWAPA MIKONO VILE NA NI CCM WENZAKE.

KAMA UNAVYO UNA MAMIA NA MAELFU YA WAZANZIBARI WAKIMPOKEA MONDULI EDWARD LOWASSA NCHINI ZANZIBAR KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA TAIFA.

WAZANZIBARI WANATAKA ZANZIBAR YAO HAWANA HABARI YA RAISI YUPI AU YUPI AWE RAISI WA NCHI YA TANGANYIKA KIMPANGO WENU HUKU HUKU TANGANYIKA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment