Tuesday, June 23, 2015

VIDEO-ASHA MKE WA BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA NCHINI ZANZIBAR. YUKO PEMBA KUTAFUTA KURA ZA OKTOB


 MKe wa balozi mdogo wa nchi ya tanganyika nchini Zanzibar Asha, akizungumza na wnachama, wapenzi na wazee wa Maskani ya CCM ya Wazee Machomanne Chake Chake Pemba, wakati alipokwenda kuangalia atii maendeleo ya Maskani hiyo, ambayo zaidi ya Shilingi Milioni tano zimetumika kuifanyia ukarabati maskani hiyoo sio maendeleo ya wananchi na hospitali laaa maskani 2015

MKE wa balozi mdogo wa nchi ya tanganyika nchini Zanzibar Asha, akipokea zawadi ya ndizi atii zawadi mapesa yote mlio ibaa mnakwenda kuomba futari ya ndizi pemba. kutoka mmoja ya wanachama wa CCM Bimkubwa Khamis Mohamed.

Mke wa balozi mdogo wa nchi ya tanganyika nchini zanzibar Asha atii akiangalia kadi za wananchama wa cuf waliotoka katika chama cha CUF atii na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment