Thursday, June 4, 2015

VIDEO-HAYA WATANGANYIKA NA WZANZIBARI TUNAWALETEA MAJINI YA MWISHO YAJE KUWAMALIZA KABISA KWA MIAKA MENGINE MITANO

ALI ABEID KARUME
ASKOFU GWAJIMA:ANAYEKERWA NA LOWASA AKALE MALIMAO
WASIRA
MWIGULU
SUMAYE
MUHONGO
HAWA WOTE WAMO KATIKA CHAMA KWA MIAKA YOTE KATIKA VYEO MBALI MBALI JE NINI WAMEFANYA...? NDIO WATAFANYA WAKIWA MARAISI DALILI YA MVUA NI MAWINGU.
HAYA CCM WASHAPIGA MIKASA WAKE ZA WATU
NA MAHAWARA SASA WANAKUJA KUOMBA KURA
MUWAPE MIAKA MENGINE MITANO YA KUPIGA MIKASI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment