Monday, June 8, 2015

VIDEO-NAPPE NAWIYE ALIVYO PATWA NA DUWA ZA MAISARA MPAKA WANA JISEMA WENYEWE KUWA CCM NI WEZI

HIBU MSIKILIZE HUYU JAMAA NDIO TUSEME HUYU NAPPE NAWIYE MAJAMBAZI
WA ESCROW HAWAJUWI....? AU ALIKUWA BADO HAJA JIUNGA NA CCM ESCROW ILIPO
TOKEA....?  JE NDIO TUSEME HAJUWI KAMA LINAWAHUSU MAA CCM WOTE AU WALIO IBAA PESA ZA ESCROW NI WAPINZANI...?
IKIWA KWELI CCM WALITAKA KUJISAFISHA CCM NA KUFUNGUWA UKURASA MPYA
WA CCM WAKIWA WASAFI BASI WANGEITUMILIA RASIMU NA KATIBA YA WARIOBA.
LAKINI WAPI YOTE MAA CCM NI MAJAMBAZI SASA ATII NDIO KILA MOJA YULE MWIZI,
HUYU ATUWACHEYE CHAMA CHETU BLA BLA BLA ILI WANANCHI WAWAONE OH CCM 
WANAJISAFISHA. BASI TUWAPE TENA AHADI ZENU ZA HEWA MIAKA 50 YEYE ANAWAITA WATU WIZI YEYE MWENYEWE KAJA NA KATIBA LA WIZI KUWAMBIYA WATU WALIPIGIA KURA YA NDIO AU SIO WEWE MPAKA ZANZIBAR UKAJA KUSEMA KAMA LILE NDIO KATIBA POA WAKATI HAKUNA MAONI YA WANANCHI MULISHA YATUPA PEMBENI KISHA MUKAJAZA YENU YA KII CCM ILI MJAZE MATUMBO. WANANCHI WAMEWASHTUKIA SASA MUME KAA KAMA MAFISI MUNALANA WENYEWE KWA WENYEWE CCM KWISHA KWISHA KWISHA KABISA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment