Saturday, June 6, 2015

VIDEO-TUNAOMBA UONGOZI WA CUF KUTUMA UONGOZI WAKE KUFUATILI HIZI HABARI ZA VITAMBULISHO MICHEWENI ATII KUWA WATU HAWENDI KUCHUKUWA


JEE UONGOZI WA CUF MNAZIJUWA TAARIFA HIZI ZA VITAMBULISHO
HUKO MICHEWENI OFISI YA VITAMBULISHO WANASEMA WATU HAWENDI KUCHUKUWA VITAMBULISHO. KWA NINI KIONGOZI MOJA CUF ASENDE NA HAO WATU NA KUMUAMBIYA HUYU JAMA ALIYE VIANIKA KUWA HAWAJI KUCHUKUWA HAWA HAPA SASA ITA JINA MTU ANACHUKUWA KITAMBULISHO CHAKE. MAANA HAWA TUNAWAJUWA MBINU ZAO WANAJIDA WATU HAWAJI LAKINI WATU WANA KWENDA HAWAWAPI AU WANAWATISHA UKIJA TENA HAPA TUNAKUITIA POLISI UKAFUNGWE JELA NDIO STAILI YAO CUF CHAGAMKENI HAKUNA KULALA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment