Friday, June 5, 2015

WAPENI CCM MIAKA MENGINE MITANO AU KUMI IWAZIKE KABISA MAKABURINIBaada ya miaka 50 toka Tanganyika ipate uhuru hapa ndio 

ccm  ilipotufikisha Watanganyika. Hivi ipo 7bu ya kuendelea 

kuwapa nafasi.........???ATII ANASEMA KAM NCH HAINA AMANI HAMNA 

MAENDELEO HAYA NCHI YENU TANGANYIKA INA AMANI 

TOKA IPEWE UHURU 1961 MPAKA LEO 2015 NI 

MAENDELEO GANI MUMELETA KWA WANANCHI ZAIDI 

YA MAENDELEO YA MATUMBO YENU NA FAMILIA ZENU 

NA MAHAWARA WENU CCM.Kamanda wa polisi anatembelea Gari la 400m watoto 

wanasoma chini ya mti hongera CCM kwa kutufikisha hapa.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment