Tuesday, June 9, 2015

WAZANZIBARI HALISI HAWAPEWI VITAMBULISHO VYA NCHI YAO YA ZANZIBAR WANAPEWA HAWA WASIO JULIKANA HATA WALIPOTOKEA AU NCHI WALIO TOKEA HAIJULIKANI ((SAMIA SULUHU HASSAN UPO, CCM NA UKIRITIMBA WAKE WA VITAMBULISHO))


CCM NA OFISI YA KUTOWA VITAMBULISHO HAWA NI KINA NANI....????
VITAMBULISHO VYA NCHI YA ZANZIBAR WAPEWA WASIO RAI WALA WASIO KUWA NA SIFA YA NCHI YA ZANZIBAR.
IMG-20150609-WA0002
CCM NA OFISI YA KUTOWA VITAMBULISHO HAWA NI KINA NANI....????
VITAMBULISHO VYA NCHI YA ZANZIBAR WAPEWA WASIO RAI WALA WASIO KUWA NA SIFA YA URAI WA NCHI YA ZANZIBAR.
WAZANZIBARI HALISI HAWAPEWI VITAMBULISHO VYA NCHI YAO YA ZANZIBAR WANAPEWA HAWA WASIO JULIKANA HATA WALIPOTOKEA AU NCHI WALIO TOKEA HAIJULIKANI NI NCHI GANI LAKINI AJABU WANA VITAMBULISHO VYA MZANZIBARI. CCM OYEEEEEEEE CCM OYEEEEE CCM OYEEEEEEEE NDIO MAPINDUZI ALIYO WAPA MZEE ABEID KARUME NDIO HAYA MUWABAGUWE WAZANZIBARI NA KUWAPA HAKI WAGENI WASIO JULIKANA WALIKOTOKEA NDIVYO MZEE KARUME ALIVYO WAMBIA SIO..........??????

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment