Wednesday, July 29, 2015

CCM BYE BYE UFISADI,KUWATIA UMASIKINI WANANCHI,KUMRISHA POLISI WAWAPIGE RAI NA MAJESHI KUUWA RAI SIKU ZA CHANGUZI MIMI SIMO NAWACHINE WENYEWE VUNDOO LENU.

IMG-20150728-WA0012
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment